Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

Hahah, si unamuacha tu unaendelea na mambo mengine Mkuu au unaona uchungu mahari uliyotoa?.

Kuwa mwanaume fanya maamuzi, usikubali kuishi bila furaha na amani kisa mwanamke.

Hapo hujaoa je ukioa itakuwajee?, usiogope watu Mkuu wewe fanya maamuzi maana hakuna wakukusaidia zaidi watakuja kukucheka wakati unapambana na hiyo ndoa.
 
Nipe namba zake mkuu nipo hapa mtaalamu wa kurekebisha ndoa zinazoyumba, niPM hio namba yake faster niokoe hilo jahazi lisije likazama mkuu

Ukute na yeye anajuta kuwa na wewe kama ambavyo na wewe unajuta so hapo ni ngoma draw..mbwa kala mbwa hiyo[emoji23]
 
hali kama hyo inawapata wengi, ila wamejikausha tu. Kama ana tabia mbovu (kuna mbovu, mbovu kiasi, mbovu sana) vumilia tu na jitahidi kumkanya, kama hatokuelewa basi nasikitika kukwambia "achana naye"
 
Ukute na yeye anajuta kuwa na wewe kama ambavyo na wewe unajuta so hapo ni ngoma draw..mbwa kala mbwa hiyo[emoji23]
Mimba ya kwanza akiwa namna gan tia nyingine unamsikilizia namna gani tia nyingine unaangalia upepo namna gani tia mimba nyingine unaangalia hali ya hewa bado hajajifunza tia mimba nyingine
 
Pole mkuu,ila bado nafasi ya kuachana nae unayo
 
Isiwe anakuwekea mizizi fulani kwenye chakula!
 
Pole mkuu.. umeandika kwa uchungu sana.
 
sijui kwa nin watu mpata msukumo wa kuoa, huo mnaupata wap?
 
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Shida ni moja mkuu... tumesha enda kwao na mahali tushatoa sina kwakutokea yani
Maisha yako yanathamani kuliko hiyo mali. Kwa maelezo yako inaonyesha hiyo ndoa itakusumbua Sana mkuu umeoa mtu asiye wa level yako, piga chini huyo Kama Ni mali zinatafutwa!!
 
Sio mtu wa kagera wilaya flani huyo!!!?
 
Huyo mwanamke alikuazid ujanja kabla hujamuoa ili uingie kwenye kumi na nane zake, daah pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…