Mambo tata matatu, Uteuzi wa Jaji Kiongozi Siyani

Mama sijui ana mataizo gani! Kulikua kuna ulazima gani wa kufanya uteuzi wakati mchakato wa kesi ukiendelea?
Kwa hiyo kesi ikichukua mwaka na jamaa asipande cheo kwa muda wote huo? Kumbuka mpaka sasa wapo kwenye kesi ndogo kesi ya msingi aijaanza kusikilizwa
 
Kipi
Je kipi cheo kikubwa kati ya jaji mkuu wa Zanzibar na jaji wa mahakama ya rufaa Tanzania
 
Kuna mambo kama huyajui bora kuuliza tu kwa wanaojua ndugu. Yaani hoja unazotaka kulazimisha hapa sioni jinsi zitakavyoathiri utendaji wa Jaji. Judges wote wanateuliwa na huyo huyo Rais, yaani hoja zako hapa zinaonekana kuwa ni kituko tu. Strangely kuna watu bado wataona umeandika vitu vya maana kumbe ni pumba tupu
 
Athari kubwa zaidi ya Jaji kuteuliwa kuwa JK ni kwamba kesi hii itaenda taratibu sana.

Atakuwa na majukumu ya kiutawala ambayo ni mengi sana hivyo kesi haitasikilizwa mfululizo tena.

Hii kesi kama Jaji kiongozi ataendelea nayo itaisha 2023.
 
Pumba ambazo imekulazimu uzisome na kuweka pumba kubwa zaidi ya zile zilizowekwa mwanzo!

Haya ndiyo maajabu ya nchi yetu hii ya 'Mama Mizinguo'!
 
Athari kubwa zaidi ya Jaji kuteuliwa kuwa JK ni kwamba kesi hii itaenda taratibu sana.

Atakuwa na majukumu ya kiutawala ambayo ni mengi sana hivyo kesi haitasikilizwa mfululizo tena.

Hii kesi kama Jaji kiongozi ataendelea nayo itaisha 2023.
Huu ni upande ambao wengi wetu hatujaupa uzito stahiki, lakini naona mantiki yake ni nzito.

Maana yake ni kwamba Mbowe atakuwa jela kwa muda wote huo, na hapo hapo wakitegemea kuikata miguu CHADEMA wakati Mwenyekiti wao akiwa jela.

Inawezekana sana.
 
Watu wengi hawajaona hiyo side nyingine wanaangalia ngonjera na ramli tu.

Mwenyekiti wa Chama atakuwa ndani kwa muda wote huo huku Jaji anayesikiliza kesi akiwa kwenye majukumu mengine ya kiutawala.

Kibaya zaidi mkutano mkuu wa kikatiba wa chama ulitakiwa kufanyika July mwaka huu haujafanyika na msajili wa vyama ameshaanza chochoko za kuuliza kwanini chama hakijatoa maamuzi juu ya rufaa za kina Mdee.
 
Jaji kiongozi atazunguka hii nchi kufanya majukumu ya kiutawala, kesi itapigwa tarehe hadi basi, mwishowe Mbowe atoke 2024 huko
 
Nimekumbuka hypothesis formulation....
You have to create "VIRUS" and then "ANTIVIRUS".

Make sure also your "SUSPENSION" its well shaken.

NOTABENE: Make sure that your results of data interpretation & data recording are well buried.
 
Yericko umeandika kwa uchungu sana hadi umesahau kuweka bei ya kitabu cha UJASUSI WA KIUCHUMI.

Vyovyote itakavyokuwa maneno ya naibu balozi wa Ujerumani kwa Mbowr yataapply..."NEVER GIVE UP".
 
ILA NISEME KITU HAWA WOTE WENYE MAMLAKA NA WATEULIWA NA HIZO MAMLAKA UINGIA MISIKITINI NA MAKANISANI KUJINYENYEKEZA KWA MUNGU, ILA KWA KIGEZO CHA SIASA HAKUNA DHAMBI INAHALALALISHWA KUPITIA HUMO....AIDHA WAWE WANAFIKI (KAMA MAFARISAYAO) MBELE YA UMMA NA DINI WASIPOTENDA HAKI TUNA UFAHAMU NA LAANA ITAANZA HAPA KABLA YA KUFARIKI KWAO...WITNESS JIWE
 
una hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…