Mambo tata matatu, Uteuzi wa Jaji Kiongozi Siyani

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana.

1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe kupata ulaji wa ujiaji kiongozi... Hi ni dhana yangu tu tata.

(2) Ikiwa Jaji Kiongozi Siyani licha ya kuteuliwa kuwa Jaji Kiongozi ataendelea kusikiliza kesi ya Mh Mbowe, Upande wa Pili wa dhana yangu tata nikwamba, athari za Jaji Siyani anayesikiliza kesi hii ikiwa maamuzi yatakuwa kinyume na "UMMA", itatafsiriwa kwamba kapata asante kuwa jaji Kiongozi kabla hata kazi haramu ambayo mteuaji alishahukumu mbele ya dunia kupitia BBC Swahili hajaimaliza.

(3) Na kwa asilimia ndogo sana ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siani ataendelea kusikiliza kesi kama kawaida, inaweza kuwa sasa ni ahueni kwa "umma" kwakuwa Jaji kiongozi atakuwa huru zaidi kuamua kwa haki bila hofu ya kuingiliwa tofauti na awali alipokuwa jaji wa mahakama kuu tu.

Kwa mizani hii mitatu na kwa asili ya siasa za kiutawala za Dar es Salaam, tuendelee kupiga magoti kila mtu kwa imani yake haki itendeke na ionekane kutendeka.

Na Yericko Nyerere
IMG-20211008-WA0610.jpg
 
View attachment 1968603
Nimeona vitabu vyako wanapewa nyongeza ukinunua mihogo huko Mbagala

USSR
 
Kitabu usichokielewa hakikuandikwa kwa ajilli yako.

Waandishi wa mihemko ndio walioupotosha UMMA na kuwaaminisha watanzania kwamba Abdallah Zombe aliwapiga risasi wafanya biashara wa Madini.

Inatubidi tujifinze kuweka maneno ya akiba ndiyo busara.
 
1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe kupata ulaji wa ujiaji kiongozi... Hi ni dhana yangu tu tat
Sasa watu wasioona umuhimu wa Katiba mpya, ambayo inatakiwa iyapembue vizuri mambo kama haya, hapo ndipo pa kuanzia kunyoosha uelewa wao juu ya Katiba Mpya.

Ni jambo muhimu sana huyu mtu anayeitwa rais, asiwe ndiye mtu wa kuamua kila kitu bila kuwa na mipaka. Bunge haliwezi kumhoji, wala halina nafasi au sauti yoyote juu ya kila jambo analofanya. Hii siyo sawa hata kidogo.

Pili, hukumu itakayotolewa na mahakama yoyote juu ya hii kesi ya Mbowe, kutokana na mambo mengi ambayo yamekwishafunuliwa hadi sasa; kuna mahakama nyingine ambayo itaona na kuhoji uamzi wa kesi hii kama utakuwa umefanywa kwa kupindisha sheria.
Hapa atakayekuwa anajiaibisha ni huyo mteuzi, kama amefanya uteuzi kutokana na dhana ya kuyumbisha kesi hiyo. Aibu yake haitaishia Tanzania, bali dunia nzima itakuwa imefahamu maksudi ya huyo mwenye nia mbaya.
 
Yericko Nadhani Jaji Kiongozi anaendelea na Majukumu yake yale hii ni title tu
Lakini haiwezi ikatafsiriwa kuwa ni rushwa ili atende anayotaka mteuzi, endapo kama cheo chake hicho kipya kitamwonyesha kubadilika na alivyokuwa mwanzo?

Matumaini yangu ni kwamba, huyu mtu ataendelea kufuata sheria, no matter what, na hiyo itamjengea heshima zaidi, kama alivyoanza kujipambanua wakati wa kesi ndogo.

Hata hivyo, lakini, kwa nini nia ya mteuzi iangaliwe katika upande mmoja tu wa kesi, kwamba uteuzi umepewa msukumo na kesi inayosikilizwa kwa upande wa mashtaka pekee?

Mteuzi anaweza kuwa kalenga upande wa utetezi.

Baada ya kuona kesi ilvyosimama, mteuzi naye anatafuta sehemu ya kudandia ili aonekane kuwa upande wa utenda HAKI!

Hapo atakuwa anajitafutia yeye na serikali yake sifa za kuonekana kuwa wanasimamia mabadiliko.
 
Mkuu Yericko umegusia suala la maana sana. Ni lazima watu makini wajiulize ni kwa nini mamlaka ya uteuzi imeona kuwa sasa ni wakati muhimu wa kubadili nafasi ya Jaji Kiongozi, na wale si muda mwingine wowote ule.

Mamlaka ya uteuzi inatambua fika kuwa kuna shahuku kubwa ya watu kutaka kujua hatma ya shauri dogo lililopo mbele yake siku ya tarehe 19-10-2021.

Kupitia kauli ya Shaka, tumepata ujumbe kuwa Rais wetu anataka kuzungumza na Watanzania. Ni lazima aachane na njia ovu alizozipitia mtangulizi wake.
 
Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana.

1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe kupata ulaji wa ujiaji kiongozi... Hi ni dhana yangu tu tata.

(2) Ikiwa Jaji Kiongozi Siyani licha ya kuteuliwa kuwa Jaji Kiongozi ataendelea kusikiliza kesi ya Mh Mbowe, Upande wa Pili wa dhana yangu tata nikwamba, athari za Jaji Siyani anayesikiliza kesi hii ikiwa maamuzi yatakuwa kinyume na "UMMA", itatafsiriwa kwamba kapata asante kuwa jaji Kiongozi kabla hata kazi haramu ambayo mteuaji alishahukumu mbele ya dunia kupitia BBC Swahili hajaimaliza.

(3) Na kwa asilimia ndogo sana ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siani ataendelea kusikiliza kesi kama kawaida, inaweza kuwa sasa ni ahueni kwa "umma" kwakuwa Jaji kiongozi atakuwa huru zaidi kuamua kwa haki bila hofu ya kuingiliwa tofauti na awali alipokuwa jaji wa mahakama kuu tu.

Kwa mizani hii mitatu na kwa asili ya siasa za kiutawala za Dar es Salaam, tuendelee kupiga magoti kila mtu kwa imani yake haki itendeke na ionekane kutendeka.

Na Yericko Nyerere
View attachment 1968603
Crap
 
Halafu utasikia kutoka kwa wajinga wachache Mmakunduchi ana roho nzurii!, muungwana yule, mtu wa dini, mara wanamuita Mama Mama, kumbe naye ni wale wale (watu mizengwe, kukomoana, roho ya korosho, tamaa, nk.)
 
Back
Top Bottom