Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

Duh! Si ungeenda moja kwa moja kwenye point ukanirekebisha na kunielekeza ni wakati gani hilo pori lilibadilishwa mkuu? kuliko na wewe kuleta tena ubishi usio solve chochote. Halafu unaleta taarifa za kusadikika kuhusu wakati nilioanza kuijua dunia? Kwa kuwa unahisi mimi ni muongo hivyo unaamua kutunga uongo?

Halafu mimi nimeshatoka huko, endeleeni kuburudika.
Kwani nikikupa ushindi bei gani?
 
Kuteseka sio sifa au achievement. Somesheni watoto wenu na muwaachie mali, mateso sio sifa au jambo la kujivunia.
😂😅 Ukiyadekeza matoto kupita kiasi yanaharibikiwa.. wafundishe skills za mikono , wafundishe kupata na kukosa, wafundishe NJAA DHIKI UMASKINI una Ladha gani?

Bila kusahau tisiwanyime mapigo wanapo kosea period!

NB.
Mifano ipo mingi ya watoto walio dekezwa kwa kupewa kila kitu na baadae yanakuja kua mateja au kuwa wasio taka kufanya kazi wanezoea (KKB)

KULA, KULALA, BUREE (KKB)
 

Watoto wa Mengi, Azam, Dewji, Dangote nk wamekuta kila kitu wameharibika?

Wapeni watoto maisha mazuri waache kujisifia ujinga wa kuteseka. Maisha magumu na umaskini sio achievement.
 
Watoto wa Mengi, Azam, Dewji, Dangote nk wamekuta kila kitu wameharibika?

Wapeni watoto maisha mazuri waache kujisifia ujinga wa kuteseka. Maisha magumu na umaskini sio achievement.
Hao wote ulio wataja hawadekezi watoto wanawapa ELIMU Bora na Wana shepiwa kua WATU wa maana

😊☺️
 
Mh! Maliza kitu gan kiliwapata leo dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…