Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Hapa unafananisha vitu tofauti. Umewahi kuona wanyama mashoga? Wasagaji?Brother China walikataa kuwa ushoga upo wa kuzaliwa nao. Lakini leo hii wamekubali wameamua kutengengeneza mazingira hicho kitu kisieffect. Mazingira ni kitu muhimu sana. Unaweza kuwa na roho nzuri sana lakini ukazaliwa nchi kama ya Congo au Somalia na hiyo roho nzuri isijionyeshe katika nafsi yako. Hii ni kwa sababu ya survival instinct.
Mkuu hakuna namna unaweza kuwacontrol watu kwa mambo wanayofanya vyumbani mwao. Ila wakija public lazima wadhibitiwe.Basi wewe ni mnafiki
Acah kutangaza biashar eti Kuna mtandao ukiwasha unakutana nao unataka kuwambia watu ili iwejeList ipo ndefu…ikiwekwa humu server za jf zitatikisika….Huu mji ni mzito sana…Hiyo mitaa ya sinza,kimara na mbezi plus kinondoni ni balaa…kuna mtandao huo ukiuwasha unakutana nao mitaa hiyo
Pumbafu Sana unacho cheka n nn wewHuu uzi huu uwiiiiiiih, [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lesbian nawachukia SanaMkuu....unaweza kuja PM???
mbona hujajibu swali?Mzee vipi? Naona umeanza kujikwaa katika miguu yako mwenyewe.
Nani kasema ushoga ni halali? Umelewa au?Sikubali tu,na hili halihitaji hoja zaidi kwasababu liko wazi. Wewe hata ukileta hoja za namna gani bado hutoweza kutuaminisha kwamba ushoga ni halali.
Narudia mazingira mkuu kwa Sasa inabidi tutambue kuwa tuna uhuru. Weka mazingira mazuri ya kuwa karibu na watoto. Na unaweza kumshape aje kuwa mtu yeyote umtakaye. Wazungu wengi hawana akili kama sisi lakini mazingira yako yanawabeba. Kuna mtoto alifanya interview shule Moja hapa nchini aingie form one. Alizaliwa New Zealand square root na LCM hazijui kule wanatumia calculator middle school nzima. Tukawapigia walimu wao wakasema kwa mtaala wao kupiga hesabu kwa kichwa si muhimu. Ni muhimu kuweka vipaumbele katika maisha. Tatizo sisi waafrika tunasubiri maisha yatupe vipaumbele. Unasubiri ufokewe na mwenye nyumba ndo ununue kiwanja, unasubiri udharaulike ndo ununue Gari. Hivyo hivyo kuna watu wanasubiri watoto wao wawe mashoga wajiulize alianza lini ? Malezi ya watoto yapo very sensitive ni muhimu sana tucontrol mazingira yao. Tujitahidi kadri ya uwezo wetu. Ushoga unaepukika ila kuacha ni ngumu. Bora Kinga kuliko matibabu.Hapa unafananisha vitu tofauti. Umewahi kuona wanyama mashoga? Wasagaji?
Hizi tabia zipo kwa binadamu wenye utashi kwa kuamua wenyewe kufuata msukumo wa utandawazi na mazingira.
Unamuita mume kwasababu anasaga wanawake wenzake maana tunajua jinsia yake ni yakikeMumee huyooooo, [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Utakula kwanza kwanza ndo ule, au ule afu utakula?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hapa tunaongea kitu kimoja. Ushoga ni suala la mazingira na sio kuumbwa hivyo kibaiolojia.Narudia mazingira mkuu kwa Sasa inabidi tutambue kuwa tuna uhuru. Weka mazingira mazuri ya kuwa karibu na watoto. Na unaweza kumshape aje kuwa mtu yeyote umtakaye. Wazungu wengi hawana akili kama sisi lakini mazingira yako yanawabeba. Kuna mtoto alifanya interview shule Moja hapa nchini aingie form one. Alizaliwa New Zealand square root na LCM hazijui kule wanatumia calculator middle school nzima. Tukawapigia walimu wao wakasema kwa mtaala wao kupiga hesabu kwa kichwa si muhimu. Ni muhimu kuweka vipaumbele katika maisha. Tatizo sisi waafrika tunasubiri maisha yatupe vipaumbele. Unasubiri ufokewe na mwenye nyumba ndo ununue kiwanja, unasubiri udharaulike ndo ununue Gari. Hivyo hivyo kuna watu wanasubiri watoto wao wawe mashoga wajiulize alianza lini ? Malezi ya watoto yapo very sensitive ni muhimu sana tucontrol mazingira yao. Tujitahidi kadri ya uwezo wetu. Ushoga unaepukika ila kuacha ni ngumu. Bora Kinga kuliko matibabu.
Mungu ni mwaminifu,ipo siku atajibu maombi yako.Usikome kuombaSwali zuri sana, mimi ni mkristo, nasali KKKT, ila pia napenda kuhudhulia ibada hata makanisa mengine sometimes kama Pentekoste na TAG, pia hua nahudhulia mikutano yote ya mwakasege, sababu napenda kusikikiza neno la Mungu, na pia sababu nimezaliwa kwenye familia ya watu wanaosali.
Nafahamu maandiko yes, na sitaki kusema nachukuliaje ila nachomuomba Mungu siku zote ni kama hii ni dhambi kuu, basi naomba anibadilishe kwa wakati wake, sababu mimi siwezi, kutokana na maandiko yes najiona mwenye dhambi, lakini siwezi acha kumuomba Mungu kwa sababu ya weakness ambayo kama binadamu siwezi kuichange, humuuliza Mungu, mbona nisipende women kama wengine, mbona hisia zangu ziwe tofauti, shida ni nini, naamini yeye anajua zaidi. Hivyo ndivyo navyoweza kusema. Gays wanasali pia, yes , hata huyo rafiki angu mmoja ambae pia ni gay, ni muslim na anasali, anafunga na anaishi kama muslim wengine japo yupo hivyo.
Kachimbe shimo useme taratibu kua "Mimi ni Shoga" halafu fukia vizuri utakua huru kwa nafsi yako,Wewe huna akili wala hekima ya kujenga hoja na mimi. Umejaa matusi kama tabia zenu zilivyo.
Mwisho wenu unakuja.
Wewe Yezebeli subiria kuliwa na mbwa maana Yehu anakuja. Moto wa milele utakuangamiza kwa kufuata huu uovu wako.Kachimbe shimo useme taratibu kua "Mimi ni Shoga" halafu fukia vizuri utakua huru kwa nafsi yako,
Huna haja ya kutokwa mapovu mengi na tabia zenu twazijua, sasa mtu hatukulishi, hatukuvishi, hatukuoni, hatukujui unashindwa nini kufunga hapa.
Anajifaragua hapa, anatuona wote mapoyoyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shost nimecheka had kupaliwa uwiiiiiih.