Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Brother China walikataa kuwa ushoga upo wa kuzaliwa nao. Lakini leo hii wamekubali wameamua kutengengeneza mazingira hicho kitu kisieffect. Mazingira ni kitu muhimu sana. Unaweza kuwa na roho nzuri sana lakini ukazaliwa nchi kama ya Congo au Somalia na hiyo roho nzuri isijionyeshe katika nafsi yako. Hii ni kwa sababu ya survival instinct.
Hapa unafananisha vitu tofauti. Umewahi kuona wanyama mashoga? Wasagaji?

Hizi tabia zipo kwa binadamu wenye utashi kwa kuamua wenyewe kufuata msukumo wa utandawazi na mazingira.
 
Basi wewe ni mnafiki
Mkuu hakuna namna unaweza kuwacontrol watu kwa mambo wanayofanya vyumbani mwao. Ila wakija public lazima wadhibitiwe.

Hizi tabia zipingwe hadharani na ikiwezekana sheria ibadilishwe ili hawa watu wapate kifungo jela. Hii itasaidia watoto wetu kujua kwamba hili ni kosa na ni jambo lisilokubalika kwenye jamii.
 
List ipo ndefu…ikiwekwa humu server za jf zitatikisika….Huu mji ni mzito sana…Hiyo mitaa ya sinza,kimara na mbezi plus kinondoni ni balaa…kuna mtandao huo ukiuwasha unakutana nao mitaa hiyo
Acah kutangaza biashar eti Kuna mtandao ukiwasha unakutana nao unataka kuwambia watu ili iweje

Ukiwa unajishughlisha na ushoga na kutafuta taarifa zake bas ikumbukwe kuwa unapofatila sites za hao watu unalako jamabo siyo kila kitu unafatilia na kujuwa

So acha kuada watu wafikirir kuwa sinza. Ni maeneo ya hao magay
 
Sikubali tu,na hili halihitaji hoja zaidi kwasababu liko wazi. Wewe hata ukileta hoja za namna gani bado hutoweza kutuaminisha kwamba ushoga ni halali.
Nani kasema ushoga ni halali? Umelewa au?
 
Hapa unafananisha vitu tofauti. Umewahi kuona wanyama mashoga? Wasagaji?

Hizi tabia zipo kwa binadamu wenye utashi kwa kuamua wenyewe kufuata msukumo wa utandawazi na mazingira.
Narudia mazingira mkuu kwa Sasa inabidi tutambue kuwa tuna uhuru. Weka mazingira mazuri ya kuwa karibu na watoto. Na unaweza kumshape aje kuwa mtu yeyote umtakaye. Wazungu wengi hawana akili kama sisi lakini mazingira yako yanawabeba. Kuna mtoto alifanya interview shule Moja hapa nchini aingie form one. Alizaliwa New Zealand square root na LCM hazijui kule wanatumia calculator middle school nzima. Tukawapigia walimu wao wakasema kwa mtaala wao kupiga hesabu kwa kichwa si muhimu. Ni muhimu kuweka vipaumbele katika maisha. Tatizo sisi waafrika tunasubiri maisha yatupe vipaumbele. Unasubiri ufokewe na mwenye nyumba ndo ununue kiwanja, unasubiri udharaulike ndo ununue Gari. Hivyo hivyo kuna watu wanasubiri watoto wao wawe mashoga wajiulize alianza lini ? Malezi ya watoto yapo very sensitive ni muhimu sana tucontrol mazingira yao. Tujitahidi kadri ya uwezo wetu. Ushoga unaepukika ila kuacha ni ngumu. Bora Kinga kuliko matibabu.
 
Mumee huyooooo, [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Utakula kwanza kwanza ndo ule, au ule afu utakula?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamuita mume kwasababu anasaga wanawake wenzake maana tunajua jinsia yake ni yakike
 
Narudia mazingira mkuu kwa Sasa inabidi tutambue kuwa tuna uhuru. Weka mazingira mazuri ya kuwa karibu na watoto. Na unaweza kumshape aje kuwa mtu yeyote umtakaye. Wazungu wengi hawana akili kama sisi lakini mazingira yako yanawabeba. Kuna mtoto alifanya interview shule Moja hapa nchini aingie form one. Alizaliwa New Zealand square root na LCM hazijui kule wanatumia calculator middle school nzima. Tukawapigia walimu wao wakasema kwa mtaala wao kupiga hesabu kwa kichwa si muhimu. Ni muhimu kuweka vipaumbele katika maisha. Tatizo sisi waafrika tunasubiri maisha yatupe vipaumbele. Unasubiri ufokewe na mwenye nyumba ndo ununue kiwanja, unasubiri udharaulike ndo ununue Gari. Hivyo hivyo kuna watu wanasubiri watoto wao wawe mashoga wajiulize alianza lini ? Malezi ya watoto yapo very sensitive ni muhimu sana tucontrol mazingira yao. Tujitahidi kadri ya uwezo wetu. Ushoga unaepukika ila kuacha ni ngumu. Bora Kinga kuliko matibabu.
Sasa hapa tunaongea kitu kimoja. Ushoga ni suala la mazingira na sio kuumbwa hivyo kibaiolojia.

Tukikubaliana hivyo basi kila mzazi ajitahidi kuwasaidia watoto wake kuwa na ufahamu wake na kujua namna ya kujiepusha na hizo tabia na mazingira yanayovutia kufanya hayo mambo maovu.
 
Swali zuri sana, mimi ni mkristo, nasali KKKT, ila pia napenda kuhudhulia ibada hata makanisa mengine sometimes kama Pentekoste na TAG, pia hua nahudhulia mikutano yote ya mwakasege, sababu napenda kusikikiza neno la Mungu, na pia sababu nimezaliwa kwenye familia ya watu wanaosali.

Nafahamu maandiko yes, na sitaki kusema nachukuliaje ila nachomuomba Mungu siku zote ni kama hii ni dhambi kuu, basi naomba anibadilishe kwa wakati wake, sababu mimi siwezi, kutokana na maandiko yes najiona mwenye dhambi, lakini siwezi acha kumuomba Mungu kwa sababu ya weakness ambayo kama binadamu siwezi kuichange, humuuliza Mungu, mbona nisipende women kama wengine, mbona hisia zangu ziwe tofauti, shida ni nini, naamini yeye anajua zaidi. Hivyo ndivyo navyoweza kusema. Gays wanasali pia, yes , hata huyo rafiki angu mmoja ambae pia ni gay, ni muslim na anasali, anafunga na anaishi kama muslim wengine japo yupo hivyo.
Mungu ni mwaminifu,ipo siku atajibu maombi yako.Usikome kuomba
 
Swali moja tu to all gays humu. Mm napata raha wakati nakojoa tu kwa demu na nje ya hapo ni safari tu ya matumaini. Kwa nyinyi mnaoingiliwa mnapata utamu wa sex kama mwanaume lijari? Au mnafikia mshindo kama wanawake?
 
nina ushuhuda wa mashoga wanne waliombewa na Nabii na pepo zikawatoka. na waliacha jumla. ni pepo aliemtulivu anaeongoza hisia tu. so you need to see a powerfull man of God. sio tu man of God.
 
Wewe huna akili wala hekima ya kujenga hoja na mimi. Umejaa matusi kama tabia zenu zilivyo.

Mwisho wenu unakuja.
Kachimbe shimo useme taratibu kua "Mimi ni Shoga" halafu fukia vizuri utakua huru kwa nafsi yako,

Huna haja ya kutokwa mapovu mengi na tabia zenu twazijua, sasa mtu hatukulishi, hatukuvishi, hatukuoni, hatukujui unashindwa nini kufunguka hapa.
 
Kachimbe shimo useme taratibu kua "Mimi ni Shoga" halafu fukia vizuri utakua huru kwa nafsi yako,

Huna haja ya kutokwa mapovu mengi na tabia zenu twazijua, sasa mtu hatukulishi, hatukuvishi, hatukuoni, hatukujui unashindwa nini kufunga hapa.
Wewe Yezebeli subiria kuliwa na mbwa maana Yehu anakuja. Moto wa milele utakuangamiza kwa kufuata huu uovu wako.
 
Nshamjua huyu jamaa na simtaji alafu ni hiv na yule mwanaume anaeweza tembea na mwanaume mwenzie pia anavinasaba vya ushoga period, binafsi nimeshawishiwa na vijana wengi ambao ni mashoga lowkey na ambao ni live unajua huyu shoga, il sijawah tamani kuwala hata kidogo

Yani eti nilane denda na mwanaume mwenzngu nimshike tako nianze kumla uwiihh yani kila nikiwaza kama shoti inapiga kwa head,

Unajuwa ktk an,l area kuna uhusiano mkubwa na penilel
Area, mwanaume kamili akigusa na kidole nyuma uku ukuni unasimama fasta ,sasa ukiendelea hisia zinaamia nyuma na ni maana iyo mwanaume yoyote kamili anaweza kuwa shoga endapo sehemu yake ya nyuma itahackiwa,

Anl area kwa ndo zilipo nyaya za dushe yani usipolinda apo umehalibu uanaume wako
 
Back
Top Bottom