Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Hapa unafananisha vitu tofauti. Umewahi kuona wanyama mashoga? Wasagaji?Brother China walikataa kuwa ushoga upo wa kuzaliwa nao. Lakini leo hii wamekubali wameamua kutengengeneza mazingira hicho kitu kisieffect. Mazingira ni kitu muhimu sana. Unaweza kuwa na roho nzuri sana lakini ukazaliwa nchi kama ya Congo au Somalia na hiyo roho nzuri isijionyeshe katika nafsi yako. Hii ni kwa sababu ya survival instinct.
Hizi tabia zipo kwa binadamu wenye utashi kwa kuamua wenyewe kufuata msukumo wa utandawazi na mazingira.