Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Ila ulianza kuchokolewa nyuma mdogo sana @ 14.....
Walau ungechelewa kidogo, ukakutana na Amina labda habari ingebadilika.
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimeshndwa kujizuia, nimecheka km chizi hapaaah khaaaah
 
Lakini unaweza toka huko kama ukiamua na kuitrain mind.
 
Ushoga ni roho na ni ajenda kuu ya Shetani duniani Ili kufuta kizazi. Hakuna jambo linalomfurahisha sana shetani kama ushoga.
Basi kwa maombi Mungu atatuepusha mkuu wangu, tuzidi kusali na kuombeana, sababu nakwambia hakuna binadamu anaweza shindana na shetani pasipo kumtegemea Mungu, kama ni agenda ya shetabi basi Mungi atatusimamia na kutubadilisha, itapatikana njia ya uponyaji.
 
Umesema vyema na asante kwa ushauri kaka.

Swali langu dogo, umesema una girlfriend wa kuzugia, huyu dada anajua status yako? Huwa kuna muda mnaweza fanya nae sex?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] mbavu cna wallah.
 
Hapa mkuu, lugha uliotumia sio sahihi, sigawi (kama unamaanisha kutembea na watu ovyo), pia sijaandika hii thread ili watu wajue kuhusu mimi, ila wapate kujua inavokua na kuweza kuwaprotect watu wao wa karibu. Asante.

Kwa hiyo kikojoleo chako kimesinyaa kuliko hata kibamia, maana wewe ndiye unayeminywa kila siku na dume lenzio.
 
Na kwanin mademu huwa wakijuwa kuwa wee Ni shoga huwa mnapendwa San n mademu hao mnafurahiana San sijui hiyo ikoje mnk nimeona Mara nyingi mfno gift sijui anakubalika San na mastar wa bongo
 
Kwakuwa umesema ni mkristo basi mimi nikukumbushe kuwa hauwi mkristo kwasababu ulizaliwa familia ya kikristo wala kwasababu unaenda kanisani au unahudhuria mikutano.

Nimependa kwamba unaukubali udhaifu ambayo ni hatua ya mwanzo ya kupona.

Sasa basi ili uwe mkristo inakupasa umpokee Bwana Yesu Kristo moyoni mwako kwa kutubu dhambi zako. Ila hili jambo kwa aina ya maisha unayoishi unahitajika msaada wa kiroho kutoka kwa mtumishi wa Mungu.

Ningependa nikuunganishe na mchungaji mmoja ambaye hafahamiki sana hapa dar ingawa ndiye hasa mlezi wa kiroho wa wachingaji wengi sana wakubwa unaowasikia hapa Tanzania.

Amini jambo moja. Mimi kabla ya kuokoka nilikuwa na mambo mengi sana yasiyompendeza Mungu na sikujua nitayaachaje. Lakini nilipotoa maisha yangu kwa Yesu alinibadilisha na kuua ile kiu ya vile vitu viovu.

Kama utapenda msaada wa kuongea na huyu mchungaji niambie nikupatie namba yake uwasiliane naye straight. Ni mtumishi mmoja mnyenyekevu sana sana na amekuwa msaada kwa watumishi wengi wa Mungu hasa wanapokuwa kwenye changamoto au wanapoanguka dhambini. Nikuhakikishie itakuwa siri kati ya wewe na yeye.

Pole sana na Mungu akurehemu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyie mnanivunja mbavu wallah khaaah.
 
Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu kuna watu walikuwa na dhambi ikiwemo kuua watu wengi kupitia ujambazi na uchawi kuna watu waliukana ubinafsi kwa kuuza nafsi zao,wakafanyiwa ukombozi wa kumpokonya shetani tena kwa lazima aaichilie nafsi ya mtu na sio ombi, baada ya nafsi zao kukomboka leo wapo poa wamesimama na maisha yanaenda.
Pambana fanya mazoezi ya kuirejesha nafsi yako itoke kwa shetani ikitoka tu ile kiu ya kutamani kiu ya kuwashwa itaisha.Ni mafunzo ya kuvishinda vita vya kiroho tu.
Ushoga sio biology ni spirit.
 
Je hujawahi kuacha na una kipi kinakuvutia kuwa hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…