Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

nina ushuhuda wa mashoga wanne waliombewa na Nabii na pepo zikawatoka. na waliacha jumla. ni pepo aliemtulivu anaeongoza hisia tu. so you need to see a powerfull man of God. sio tu man of God.
[emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] story za vijiweni hizi sasa.
 
Kachimbe shimo useme taratibu kua "Mimi ni Shoga" halafu fukia vizuri utakua huru kwa nafsi yako,

Huna haja ya kutokwa mapovu mengi na tabia zenu twazijua, sasa mtu hatukulishi, hatukuvishi, hatukuoni, hatukujui unashindwa nini kufunguka hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23]
 
Nshamjua huyu jamaa na simtaji alafu ni hiv na yule mwanaume anaeweza tembea na mwanaume mwenzie pia anavinasaba vya ushoga period, binafsi nimeshawishiwa na vijana wengi ambao ni mashoga lowkey na ambao ni live unajua huyu shoga, il sijawah tamani kuwala hata kidogo

Yani eti nilane denda na mwanaume mwenzngu nimshike tako nianze kumla uwiihh yani kila nikiwaza kama shoti inapiga kwa head,

Unajuwa ktk an,l area kuna uhusiano mkubwa na penilel
Area, mwanaume kamili akigusa na kidole nyuma uku ukuni unasimama fasta ,sasa ukiendelea hisia zinaamia nyuma na ni maana iyo mwanaume yoyote kamili anaweza kuwa shoga endapo sehemu yake ya nyuma itahackiwa,

Anl area kwa ndo zilipo nyaya za dushe yani usipolinda apo umehalibu uanaume wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimesoma comments huko juu inavyosemekana mwanasiasa ni bwana waziri mdogo mwenye upara
Na msanii ni yule mtoto wa fela aliehit Sana kipindi fulani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao n mfano tyuuh, wapo wengi mnoo,
Ila hao waliotajwa sio, huyu kipara si anabokolewa na kaka wa DC, afu yeye ana mbokoa R.
 
Amna ulichokiandika na kikaeleweka.
Mleta uzi ndo anaeleweka zaidi kuliko hata wewe unaesema una uelewa mpana wa hayo makitu.

Huyo mwamba ni shoga.

Kuna wasagaji na mashoga.

Msagaji ni yule mwanamke mwenye hisia na mwanamke mwenzie na shoga ni mwanaume mwenye hisia na mwanaume mwenzie.

Umekalilishwa na hizo NG'os zenu ili mjitetee kua kuna utofauti wa mashoga.
Ukila ama kuliwa wewe ni shoga.
Bongo hatuna hizo categories ndgu usiige na kukalili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] haya umeshinda wee.
Relaaaaax sasa.
 
Niliuona huu uzi tangu siku ya kwanza nikaupotezea, mambo ya mashoga yananichefua sana halafu niliamini ungefutwa na JF haraka sana.
Kilichonishtua hadi jana asubuhi uzi bado upo na una comments zaidi ya 400 in less than 24hrs. Nikafungua na kuanza kusoma pamoja na comments ZOTE hadi ukurasa wa 47.
Niliyoyagundua;
1.Mleta mada ni mtu SMART sana, ukiangalia uandishi wake, jinsi anavyojibu comments za watu hata zile za kudhihaki bila kupaniki wala ku attack back, professional yake, utakubaliana na Mimi. Actually by default mashoga wengi ni watu smart. Technologies nyingi tunazotumia ikiwemo computer ziligunduliwa na mashoga.
2. Watanzania/ waafrika wengi ni wanafiki hasa linapokuja suala la ushoga. Mwanzoni mwa uzi watu walikuwa wanachangia kupitia side ID's. Unakuta ID ya 2012 lakini ina comments 200au300. Uzi ulipochanganya ndipo zikaanza kuonekana zile ID's kongwe& popular.
3. Ushoga upo kila mahali. Angalia mleta mada anasema ni muumini wa dini anahudhuria ibada lakini anayoyafanya chini ya kapeti ni siri yake. Je ni watu wangapi wanaofanya hivyo? Si ajabu hata viongozi wa dini wanasimama madhabahuni kuulani ushoga lakini wenyewe ndio wanajua wanayoyafanya vyumbani mwao.
4. Wanawake wanaongoza kwa double standard. Ushoga baina ya wanawake literally unakubalika(na ndio upo kwa kiasi kikubwa) lakini kwa wanaume ni haramu. Mara nyingi club nimekuta wanawake wanacheza pamoja, ole wao wanaume wafanye hivyo. So hata ushoga kwa wanaume unapigwa vita kuliko sababu una disarm wanawake wanaotumia sex ku manipulate wanaume, unawapa competition wasiyoiweza.
5. Siyo kweli kwamba uwazi kwenye ushoga utahamasisha vitendo vya kishoga. Sigara na pombe vipo wazi mitaani na vinapewa promo na vyombo vya habari lakini kuna watu wengi hawavitumii na hawana mpango wa kuvitumia. Ukihisi utakuwa shoga kisa mwingine kajitangaza ni shoga ujue wewe ni shoga wa mafichoni.
Mkuu Bharka kamwe usijihisi mdhambi au mpungufu kwa hali uliyonayo. Kama ndicho kinachokufurahisha wewe pamoja na wenzio kifanye with full Watts. Kama ni dhambi Mungu ndiye wa kukuhukumu na siyo binadamu. Bila shaka una la kujitetea mbele zake kama siku ya hukumu itakuwepo.
Mwisho nawapongeza JamiiForums kwa kuruhusu maoni na mitazamo tofauti ijadiliwe, bila kuzuia watu kama mleta mada kujieleza.
JF WHERE WE DARE TO TALK OPENLY.
Ahsanteeeeeeeeeh sanaaaaa.
Comment hii ndo imefunga mjadala wa uzi. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wewe nawe acha unafiki, unachangia speed ya uzi kwa ku comment halafu unasema eti ndio nyuzi zenu pendwa?
Nimesoma comments zako karibia 20 au zaidi, yaani ukurasa mzima wa huu uzi umechangia wewe.
Huko kwenye ujasiriamali ushachangia hata comments 5?
Siyo ajabu wewe nawe ni shoga wa mafichoni unayetaka wengine wa feel guilty kwa kitu ambacho ndiyo mazoea yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] bora umemuambia ukweli.
 
Huyo anatafuta wateja hapa. Yaani hana aibu tangu mada ianze anajichekesha ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3] mie ndo nimeleta mada hii? Nyie lieni, nuneni, chukieni, hilo halinihusu mie hata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao n mfano tyuuh, wapo wengi mnoo,
Ila hao waliotajwa sio, huyu kipara si anabokolewa na kaka wa DC, afu yeye ana mbokoa R.
Kwani Kaka wa dc si na yeye anabokolewa?..huyo r ndiyo Nani🤔
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao n mfano tyuuh, wapo wengi mnoo,
Ila hao waliotajwa sio, huyu kipara si anabokolewa na kaka wa DC, afu yeye ana mbokoa R.
Njoo na uzi unamaanisha yule anaehusika na yale mambo ukigusa unaviblate yanawasha ila sio mwili
 
Ipitishwe poll ya siri anaebokolewa na anaebokoa kwa siri na kwa uwazi hakika majibu yatastajabisha,
 
Back
Top Bottom