Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

Mpaka miayo imekatika, senge kweli hilo simp
 
Umelewa ulanzi
 
Ulikosea sana kuoa single mother.
 
Ulishawahi kuwa naye? Kila mtu humu kapita na singo maza ila wanaume wa jf🙌🏾
Nimesema kuwa na single yataka moyo sana tena sana, hasa ukute bado wana mawasiliano na baba wa mtoto kiruuuuu... baba la mtoto unakuta lapiga simu usiku kuongea na mtoto 😂😂
 
Nimesema kuwa na single yataka moyo sana tena sana, hasa ukute bado wana mawasiliano na baba wa mtoto kiruuuuu... baba la mtoto unakuta lapiga simu usiku kuongea na mtoto 😂😂
Mnaokotana huko vichochoroni mnakuja kufanya generalizations huku!🚮
 
Tatizo liko wapi kuoa Mwanamke aliyewahi kuolewa, ndoa zinavunjika kama mambo mengine tuu, wewe ukiachana na mkeo Ina maana hautakiwi kuoa tena? naona double standard hapa acheni mawazo ya kishamba
 
Wasio wa vichochoroni wakoje na walio wa vichochoroni wakoje
Mwanamke kama hajitambui hata akizaa hatojitambua! Mwanamke anayejitambua haijalishi amezaa au la bado ataendelea kujitambua! Hizo tution mnazotoa humu kuhusu single mazas mjue kuna kila aina ya hao watu sio mnajumuisha tu kama kundi la malaya mnaowajua huko nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…