Kabisa na tokea ujio wa social networks ndio kabisa. Smartphone inachukua 80% ya muda wa kuhangaika na TV. Mi Tv yangu naweza maliza hata week 2 sijaiwasha inapigwa na mavumbi tu. Mpaka niwe na mzuka nmepata Movie mpya na Company ya wana ndio nawasha TVYaan mtu huna time nayo
Huyo mama alikua mkoloniKuna siku mama mmoja jirani alileta kesi nyumbani kuwa simsalimii shikamoo, akawakuta washua nao wasela. Nadhani alijutia maamuzi yake.
😀😀😀😀
Hahaha mimi husalimia tu basi kama nikipita nikikutana na wamama mtaani ni ukauzu tu shikamoo yake tu inatoshaKuna siku mama mmoja jirani alileta kesi nyumbani kuwa simsalimii shikamoo, akawakuta washua nao wasela. Nadhani alijutia maamuzi yake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi kutamka shikamo hadi leo mzito, huwa nasema shiamo.
Kuna watu wanapenda shikamo kama inaongeza CD4 vile...
Kweli bana, saiv mtu mda mwingi unakua kwenye simu. TV nna vipindi vyangu maalum, naiwasha nikitaka kuangalia na nikimaliza nazima narudi kwenye simu.Kabisa na tokea ujio wa social networks ndio kabisa. Smartphone inachukua 80% ya muda wa kuhangaika na TV. Mi Tv yangu naweza maliza hata week 2 sijaiwasha inapigwa na mavumbi tu. Mpaka niwe na mzuka nmepata Movie mpya na Company ya wana ndio nawasha TV
aiseee bro.. hyo inauma sana!. hyo salamu ndo ilikua ujira wake wa ww kula bure na kuegesha poumbou pale sebuleni!.wananiboaga kishenz hasa sista angu alikuwa analazimisha nimsalimie mume wake
zilikua zinarushwa juma2 mkuu.. ijumaa za kihindi hahaaaaHaha zamani si kulikuwa hamna vingamuzi kwa hiyo ni itv , tvt na star tv
mpaka muone hizo za kinigeria mara moja moja .
Sent using Jamii Forums mobile app
J2 mida ya sa 5 hv asbh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeh kisela tu yani halafu freshi.
Wakatili mno, hapo anaisukuma huku anajua kabisa anakukomoa😂😂.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie pia ukichanganya na bass boosted linalounguruma toka katika koromeo hata hio K haisikiki kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni upuuzi tu kulazimishana salamu za kitumwa.
ni mwanza mkuuWapi huko
"corona ipo tuchukue tahadhari"
yeah kwa sisi genereta ilkua inawashwa saa 2 asubuh hadi saa 8. baada ya hapo mnakula mnalala then madrasa!... tulikua na bonge la tv lenye chogo la HITACHI.. noma sanaJ2 mida ya sa 5 hv asbh
Ujue Luku tu hapo ndo mchawi.Sasa ukute kwa jirani upo, huo mshtuko wake wa moyo unaoupata. Unaanza kuwaza kama kwako kuna shot