Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Yaan mtu huna time nayo
Kabisa na tokea ujio wa social networks ndio kabisa. Smartphone inachukua 80% ya muda wa kuhangaika na TV. Mi Tv yangu naweza maliza hata week 2 sijaiwasha inapigwa na mavumbi tu. Mpaka niwe na mzuka nmepata Movie mpya na Company ya wana ndio nawasha TV
 
Mimi kutamka shikamo hadi leo mzito, huwa nasema shiamo.
Kuna watu wanapenda shikamo kama inaongeza CD4 vile...

Nawapenda sana Wazanzibari hapa kwenye salamu, ni Asalama Leku tu mwanzo mwisho.

Unakuta dogo wa miaka kama 8 anapita kuna wazee anawapa Asalama Leku nao wanaitikia safi bila kinyongo.

Sasa wazee wa kiswahili wa huku kwetu ndo kwao shikamoo ni bonge la dili.
 
Kabisa na tokea ujio wa social networks ndio kabisa. Smartphone inachukua 80% ya muda wa kuhangaika na TV. Mi Tv yangu naweza maliza hata week 2 sijaiwasha inapigwa na mavumbi tu. Mpaka niwe na mzuka nmepata Movie mpya na Company ya wana ndio nawasha TV
Kweli bana, saiv mtu mda mwingi unakua kwenye simu. TV nna vipindi vyangu maalum, naiwasha nikitaka kuangalia na nikimaliza nazima narudi kwenye simu.
Mambo yamebadilika sana, hata watoto wa kizazi hiki weng washazoea TV na wamekariri cartoon zote
 
[emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3]
 
Mie pia ukichanganya na bass boosted linalounguruma toka katika koromeo hata hio K haisikiki kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni upuuzi tu kulazimishana salamu za kitumwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipanda na demu kwenye daladala konda lazima akuangalie wewe ukifika muda wa nauli hata kama wewe ndo umekaa siti ya dirishani.

Ukiwa na baby mahali mnajidai, bill lazima uletewe mwanaume hata kama yeye ndo kakutoa.
 
Back
Top Bottom