Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

Nimemiss minuno ya mke wangu sometimes kununa kunanogesha mahusiano unaishi na mtu hata umfanyeje hakufuatilii wala hanuni
 
Kwasasa niko na Amani na wife bana, ishu haitakaa sana aisee.
Tukikaa hivi naenjoy kinoma!!

Hakuna mchepuko wakunitoa hapa πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Na hatimaye Amani imefikia ukingoni leo.
Ni mnuno sasa, I wish it won't last longer.
 
Nimemiss minuno ya mke wangu sometimes kununa kunanogesha mahusiano unaishi na mtu hata umfanyeje hakufuatilii wala hanuni
Kama hanuni kwako, kuna mahali ananuna
 
Pole Sana mkuu
 
Aliyeleta mapenzi Sina ham nae Bora naangalia mpira kwa SasaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…