Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Nakaziaa😃😃😃kazi ya mwanamke ni kukutuliza ukiwa umevurugwa, na kukuvuruga ukiwa umetulia'..! Ahsante..!

Hapo kwenye umbea ndio penyewe,.Uwongo mwingi ndio mwokoz wetu,,
kuwasifia mda wote hata kama hajapendeza, kusifia chakula hata kama si kitamu, umbea wowote akikuletea inabidi usapoti
Amani kwenye ndoa hujengwa na:Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu nimejichunguza sana, kipindi nina amani na mke wangu! Hata kuchelewa nyumbani haipo kama yupo. Najikuta natamani kumaliza mambo yangu haraka as atafanya whatever I need.
Tukiwa na amani atanifanyia chochote anachojua kitanifurahisha, na ninaamini iko hivyo kwa wanandoa wengi.
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Yaani kuna wakati tunapatana kinoma, ile sana hadi nasema hatuwezi gombana sisi, halafu gafla tu kinatokea kitu. Napigwa mnuno!
Na itategemea situation unaweza kudumu hata siku mbili, mnasemeshana lakini ile kawaida tu, mambo mengine anafanya kwasababu ni wajibu wake tu.
Niliwahi kujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza kusoma hisia zake kwa umakini, lakini waapi.
Hii Amani ya kwenye ndoa kwako inadumu kwa muda gani?
mnakuwa na habari nyingi sana,Hapo kwenye umbea ndio penyewe,.
Yaani me nitunze kitu siku nzima simwambii mtu halafu nije kukusimulia usisapoti looh!😄😄
Haha😃😃,. Habari za kila mtu tunakuaga nazo wakuwasimulia ndio hatuna,. Najua nikimsimulia baba watoto hawezi kuvujisha mke wake nikasutwamnakuwa na habari nyingi sana,
"umemuona yule mama? akikopa harudishi, kodi hajalipa, alafu huwa anajiuza "
Sawa lakini hivyo havizuii kununiana.Amani kwenye ndoa hujengwa na:
1.mapenzi ya dhati baina ya wana ndoa
2.kila mmoja kumjali mwenzie
3.kila mmoja kuwa mkweli kwa mwenzie
4.Kuongea panapotokea hitilafu baina ya wana ndoa
5.Kuvumiliana
6.Kutotoa siri zenu za ndani
View: https://www.instagram.com/reel/DIeHateio75/?igsh=YmRiY2k5b2Q1bTYx
Nimecheka sana.
Njia yakupunguza argument.
amani ya ndoa ni kitendawili, hakuna specific remedy , ni circumstantial i,e hakuna universal remedy ya kui-manage ndoaAsikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu nimejichunguza sana, kipindi nina amani na mke wangu! Hata kuchelewa nyumbani haipo kama yupo. Najikuta natamani kumaliza mambo yangu haraka as atafanya whatever I need.
Tukiwa na amani atanifanyia chochote anachojua kitanifurahisha, na ninaamini iko hivyo kwa wanandoa wengi.
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Yaani kuna wakati tunapatana kinoma, ile sana hadi nasema hatuwezi gombana sisi, halafu gafla tu kinatokea kitu. Napigwa mnuno!
Na itategemea situation unaweza kudumu hata siku mbili, mnasemeshana lakini ile kawaida tu, mambo mengine anafanya kwasababu ni wajibu wake tu.
Niliwahi kujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza kusoma hisia zake kwa umakini, lakini waapi.
Hii Amani ya kwenye ndoa kwako inadumu kwa muda gani?
kwahiyo amani inaisha chap kama data za airtel unaunga ya mwezi mara ndani ya wiki unaambiwa chek your internet conection hadi hasiraAsikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu nimejichunguza sana, kipindi nina amani na mke wangu! Hata kuchelewa nyumbani haipo kama yupo. Najikuta natamani kumaliza mambo yangu haraka as atafanya whatever I need.
Tukiwa na amani atanifanyia chochote anachojua kitanifurahisha, na ninaamini iko hivyo kwa wanandoa wengi.
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Yaani kuna wakati tunapatana kinoma, ile sana hadi nasema hatuwezi gombana sisi, halafu gafla tu kinatokea kitu. Napigwa mnuno!
Na itategemea situation unaweza kudumu hata siku mbili, mnasemeshana lakini ile kawaida tu, mambo mengine anafanya kwasababu ni wajibu wake tu.
Niliwahi kujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza kusoma hisia zake kwa umakini, lakini waapi.
Hii Amani ya kwenye ndoa kwako inadumu kwa muda gani?
Ukitumia vipengele nilivyovianisha,kununiani kunaweza kusitokee na kukitolea hakutadumuSawa lakini hivyo havizuii kununiana.
Sasa si kazi inaingiza maokoto kwa familia?Iyo amani ataipata kama ataacha kutumia simu mda wote kwakifup aachane na iyo kazi ya uwakala wa 1x bet
Hii kweli.'kazi ya mwanamke ni kukutuliza ukiwa umevurugwa, na kukuvuruga ukiwa umetulia'..! Ahsante..!