Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Kwenye ndoa siku za kununiana ni nyingi mno kuliko za furaha😹😹😹 Wee umeisikia wapi?
Kwenye ndoa siku za kununiana ni nyingi mno kuliko za furaha😹😹😹 Wee umeisikia wapi?
ukiijua na kufahamu ladha ya kimwili na kiroho ya mwenza wako, kamwe hutachelewa kurudi nyumbani.Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu nimejichunguza sana, kipindi nina amani na mke wangu! Hata kuchelewa nyumbani haipo kama yupo. Najikuta natamani kumaliza mambo yangu haraka as atafanya whatever I need.
Tukiwa na amani atanifanyia chochote anachojua kitanifurahisha, na ninaamini iko hivyo kwa wanandoa wengi.
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Yaani kuna wakati tunapatana kinoma, ile sana hadi nasema hatuwezi gombana sisi, halafu gafla tu kinatokea kitu. Napigwa mnuno!
Na itategemea situation unaweza kudumu hata siku mbili, mnasemeshana lakini ile kawaida tu, mambo mengine anafanya kwasababu ni wajibu wake tu.
Niliwahi kujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza kusoma hisia zake kwa umakini, lakini waapi.
Hii Amani ya kwenye ndoa kwako inadumu kwa muda gani?
😂😂😂Mnaweza kuwa kwenye peak ya furaha ila ukajikuta umeulizwa swali la kijinga tu na majibu yako yakaharibu kila kitu...
Sijui wanawake wengine hawajiamini au vipi.
Aisee nyie viumbe sijui huwa mnataka nini kwa kweli.😂😂😂
Naona hapa umenisema, juzi tumetoka kupata dinner vizuri tu and we were so happy, tupo njiani tunarudi, kuna swali nikauliza kuhusu 'past' yake, nikajibiwa jibu ambalo sikutegemea, nikanuna..!!
sasa baadaye nakaa nafikiria kwanini hata niliuliza ule ujinga ukaharibu dinner date yetu, sikuwa na majibu..
'kazi ya mwanamke ni kukutuliza ukiwa umevurugwa, na kukuvuruga ukiwa umetulia'..! Ahsante..!
Siku moja nilikutana na mwanamke mmoja, mkubwa tu huko serikalini wakati tunapiga piga story nikamuuliza kama na yeye ana tabia yakununa, alichonijibu nilicheka sana 🤣Mara nyingi Hawa viumbe wakikwa kwenye siku zao wanakuwa na hasira za hivyo
Changamoto sana hawa viumbe😃 wanaonuna ni wake zetu
Yeah! Sisi tulijiwekea misingi ya kusolve matatizo yetu wenyewe with no interaction ya mtu yeyote! Inachukua muda lakini ina work sana.ukiijua na kufahamu ladha ya kimwili na kiroho ya mwenza wako, kamwe hutachelewa kurudi nyumbani.
ukijichanganya tu kumkaribisha paroko, mchungaji, nabii au mtume kwenye ndoa yako,
my friends, ladies and gentlemen,
that will mark the beginning of the end of peace and love within your marriage 🐒
Hata demu sinaUmeoa mdau?
Miaka 32Ni umri au?
Samahani lakini.