Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

Nakumbuka kipindi cha uchumba tulikuwa tunaogopana sana aisee.
Sijui ni ile hakuna aliyetaka kumpoteza mwenzie.
kile kipindi kitam sana, manakuwa hamna hata watoto, show mda wowote ule🤣,, chooni bafuni sebuleni ni misuguo tu,, muhimu pazia ziwe zimefungwa mana mda wowote kinawaka🔥
 
attention yake uishikilie mda wote,, anaweza akawa anafua,, ghafla unaambiwa njoo unisaidia kuanika nguo mia nakuwa nafua we unaanika,, alafu hiyo time uchezee simu🤣,, utaambiwa uko bize na simu tu😡,

hapo lazima minuno,,

suluhisho inabidi uache simu ukaende kufua nawe,,
 
😂😂😂
Naona hapa umenisema, juzi tumetoka kupata dinner vizuri tu and we were so happy, tupo njiani tunarudi, kuna swali nikauliza kuhusu 'past' yake, nikajibiwa jibu ambalo sikutegemea, nikanuna..!!

sasa baadaye nakaa nafikiria kwanini hata niliuliza ule ujinga ukaharibu dinner date yetu, sikuwa na majibu..

'kazi ya mwanamke ni kukutuliza ukiwa umevurugwa, na kukuvuruga ukiwa umetulia'..! Ahsante..!
Hatari aisee, kukutuliza ukiwa umevurugwa na kukuvuruga ukiwa umetulia😅😅 kumbe mnajua nyie ni vivuruge!!
 
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Duh, kuna watu mnaishi kwenye ndoa kama tanuru! Na hizi point ndizo yale mazombie ya kataa ndoa yanajiokotea points! Ndoa nyingi zinasumbua pale anapokosekana wa kujishusha na anayeweza kusamehe na hiki sisi wanaume ndicho kinatushinda kwa kutaka kuonesha ubabe wetu! Kwangu naomba nikiri siku za kununiana ni chache sana kuliko za amani, sijui na dini nazo zinachangia? My wife ni mtu wa sala sana na muda wa kununa huwa nagundua mimi ndiye chanzo hivyo ili kuepusha hayo huwa najishusha fasta! Tujifunze kusamehe na kutochukulia kila kitu katika uzito wa kudharaulika!
 
Nakumbuka kuna siku tuko home na wife tunapiga story za hapa na pale na vicheko juu huku nimewasha mziki kwenye simu tunaenjoy.
Sasa nikawa nimetoka nimeenda nje kuna mshikaji aliiniita na simu nikaiacha hapo ....ee ile narudi nakuta mtu kanuna, kuuliza shida nini naulizwa Grace ni nani😀

Kumbe wakati nimetoka akaanza kupekenyua simu .......ila hawa viumbe 😀
 
kile kipindi kitam sana, manakuwa hamna hata watoto, show mda wowote ule🤣,, chooni bafuni sebuleni ni misuguo tu,, muhimu pazia ziwe zimefungwa mana mda wowote kinawaka🔥
🤣🤣uliutendea haki wakati wako
 
Duh, kuna watu mnaishi kwenye ndoa kama tanuru! Na hizi point ndizo yale mazombie ya kataa ndoa yanajiokotea points! Ndoa nyingi zinasumbua pale anapokosekana wa kujishusha na anayeweza kusamehe na hiki sisi wanaume ndicho kinatushinda kwa kutaka kuonesha ubabe wetu! Kwangu naomba nikiri siku za kununiana ni chache sana kuliko za amani, sijui na dini nazo zinachangia? My wife ni mtu wa sala sana na muda wa kununa huwa nagundua mimi ndiye chanzo hivyo ili kuepusha hayo huwa najishusha fasta! Tujifunze kusamehe na kutochukulia lila kitu katika uzito wa kudharaulika!
Point 📌
 
Nakumbuka kuna siku tuko home na wife tunapiga story za hapa na pale na vicheko juu huku nimewasha mziki kwenye simu tunaenjoy.
Sasa nikawa nimetoka nimeenda nje kuna mshikaji aliiniita na simu nikaiacha hapo ....ee ile narudi nakuta mtu kanuna, kuuliza shida nini naulizwa Grace ni nani😀

Kumbe wakati nimetoka akaanza kupekenyua simu .......ila hawa viumbe 😀
Na huwa wana speed hadi deepseek au Chatgpt haoni ndani.
Kwenye search
 
attention yake uishikilie mda wote,, anaweza akawa anafua,, ghafla unaambiwa njoo unisaidia kuanika nguo mia nakuwa nafua we unaanika,, alafu hiyo time uchezee simu🤣,, utaambiwa uko bize na simu tu😡,

hapo lazima minuno,,

suluhisho inabidi uache simu ukaende kufua nawe,,
ukiwa busy na simu unaweza kuambiwa unachati na wanawake zako au malaya zako
 
Mkiwa vizuri kiuchumi shida, mkiyumba kiuchumi shida...ndoa hazieleweki kwa kweli. Ila uzoefu ni darasa tosha, wengine bila hizi ndoa hatuenjoy wala.
Na hakuna formula kabisa.
 
Mimi na huyu wangu tuna miez mitano hatujawahi kua na furaha yaan kisa kucheat tu na kitoto cha buku mbili ndo imekua nongwa yaan ni kero napewa tunda kwasababu ni wajibu wake tu
Oh! Pole sana.
Anyway ata recover tu.
Ila miezi mitano parefu sana aisee.
 
Back
Top Bottom