Pehraa
Member
- Sep 13, 2024
- 30
- 47
Hapo kwenye sauti la base mnanikumbusha Mwajuma ndala ndefu wa original comedy😄🤣😹😹😹 Wee umeisikia wapi?
Hapo kwenye sauti la base mnanikumbusha Mwajuma ndala ndefu wa original comedy😄🤣😹😹😹 Wee umeisikia wapi?
Hapo sasa kama unajiamini uko vizuri unampa simu aangalie ulichokuwa unafanya kwenye simu! Ila sasa vijana wangu mlivyo na mambo mengi hapo huwezi maana utakuwa umekabidhi Bucha kwa fisi! Hata kwangu huwa kuna wakati haya yanajitokeza hapo hapo nampa simu angalie mwenyewe! Sasa hivi kanizoea hata na-chat haulizi tena maana nilishamkata kilimilimi!ukiwa busy na simu unaweza kuambiwa unachati na wanawake zako au malaya zako
AkasemajeNilimuuliza Bwana Mbaga
😃Ameamua kutokukuchosha tuHapo sasa kama unajiamini uko vizuri unampa simu aangalie ulichokuwa unafanya kwenye simu! Ila sasa vija a wangu mlivyo na mambo mengi hapo huwezi maana utakuwa umekabidhi Bucha kwa ofisi! Hata kwangu huwa kuna wakati haya yanajitokeza hapo hapo namba simu angalia mwenyewe! Sasa hivi kanizoea hata na-chat haulizi tena maana nilishamkata kilimilimi!
😁😁😁😹mifugo
😃😃Watu wengi hawana elimu za mambo ya emotional intelligence ufahamu wa kudhibiti hisia.
Mfano mtu anayabeba ya ofisini anayaleta nyumbani kwake kuwaathiri wasiohusika ili kuvunja amani za wengine.
Unakuta watoto,madada wa kazi, mifugo nk ndio wahanga
had kuna mda unataman ungekua din fulani ungemuongezea bi mdgOh! Pole sana.
Anyway ata recover tu.
Ila miezi mitano parefu sana aisee.
Kwa kweliMinaona nyerere alifanya haraka kupambania uhuru kutoka kwa mkoloni...🤣
Such is life,Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu nimejichunguza sana, kipindi nina amani na mke wangu! Hata kuchelewa nyumbani haipo kama yupo. Najikuta natamani kumaliza mambo yangu haraka as atafanya whatever I need.
Tukiwa na amani atanifanyia chochote anachojua kitanifurahisha, na ninaamini iko hivyo kwa wanandoa wengi.
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Yaani kuna wakati tunapatana kinoma, ile sana hadi nasema hatuwezi gombana sisi, halafu gafla tu kinatokea kitu. Napigwa mnuno!
Na itategemea situation unaweza kudumu hata siku mbili, mnasemeshana lakini ile kawaida tu, mambo mengine anafanya kwasababu ni wajibu wake tu.
Niliwahi kujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza kusoma hisia zake kwa umakini, lakini waapi.
Hii Amani ya kwenye ndoa kwako inadumu kwa muda gani?
kama ulikuwepo, ndio jibu laoukiwa busy na simu unaweza kuambiwa unachati na wanawake zako au malaya zako
sanaaaa,, unaipga mnaoga unaipga tena mnaoga mnasema imetosha ile kuingi kwa bed ghafla unagusagusa ikweta mzigo umesimama napga tena😃,, hapo lazima nikasinzie job kesho yake,,,🤣🤣uliutendea haki wakati wako
Umenikumbusha mbali sana.sanaaaa,, unaipga mnaoga unaipga tena mnaoga mnasema imetosha ile kuingi kwa bed ghafla unagusagusa ikweta mzigo umesimama napga tena😃,, hapo lazima nikasinzie job kesho yake,,,
Ishi nae kwa 'akili' huyo mkeo..Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu nimejichunguza sana, kipindi nina amani na mke wangu! Hata kuchelewa nyumbani haipo kama yupo. Najikuta natamani kumaliza mambo yangu haraka as atafanya whatever I need.
Tukiwa na amani atanifanyia chochote anachojua kitanifurahisha, na ninaamini iko hivyo kwa wanandoa wengi.
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Yaani kuna wakati tunapatana kinoma, ile sana hadi nasema hatuwezi gombana sisi, halafu gafla tu kinatokea kitu. Napigwa mnuno!
Na itategemea situation unaweza kudumu hata siku mbili, mnasemeshana lakini ile kawaida tu, mambo mengine anafanya kwasababu ni wajibu wake tu.
Niliwahi kujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza kusoma hisia zake kwa umakini, lakini waapi.
Hii Amani ya kwenye ndoa kwako inadumu kwa muda gani?
Hata leo kama ingekua inawezekana ili an anune vzur had apasuke ilifika mda nikamwambia kama ndoiv bas tutengane hata kwa mda aise ndo nilikosea kabsa yaanUnatamani kumpandisha cheo, kuwa mke mkubwa 😃😃
Basi atakuwa amechelewa!😁😁😂😂😂😃Ameamua kutokukuchosha tu
umri unavokua doz inapungua,Umenikumbusha mbali sana.
Kipindi kile cha ujana na wala huchoki kabisa.
Sasa hivi kupiga viwili tu ni shughuli pevu.
🤣🤣