Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

hii yote inatokana na ubishi wa Mwanamke!
hataki kutawaliwa na anapenda ajitawale pia aweze kumiliki kila kitu kama mwanaume.
matokeo yake ikishindikana anajikataa na kuwa tayari kufanya chochote kile ili siku ziende.
ni shida kidogo hili lipo vizazi hadi vizazi sema tu utendaji umeboreshwa kulingana na aina ya wateja pia maitaji yaliyopo.
 
Shida Yako umekurupuka, sijalaumu kanisa , ila kama unaona ni fresh, Haina noma Kila mtu ana notion tofauti
Ngoja nikusaidie kufikiri kidogo, hao wadada wameenda hapo kwa ajili ya kuwa pengine kuna wateja. Hii biashara ya umalaya haimhusu mwenye bar. Ndio maana nikkupa na mfano wa Dodoma ili kuonesha kuwa, saa nyingine eneo linaweza kushamiri kwa hii biashara bila idhini ya wenye eneo.
 
Usisahau kuzaliwa huko kila mbachao na muda wake🏑🏑🏑🏑
 
Sisi badooooo ni watumwa tunaboresha bar za ulayaaaaaaa magaribi🏑🏑🏑🏑🏑 unaweza panda ndege✈✈✈✈✈✈✈✈ ukawachungulie kama hizo tabia wanazo
 
Sio Tabia nzuri kabisa naomba maelekezo vizuri nafikaje apo nikakemee huu ujinga koh koh koh πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…