MAMBO YANAZIDI KUCHANGAMKA: Wananchi wa Ngorongoro watoa ONYO kali kwa serikali

Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi.

Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki kuama, imelazimika kufunga huduma nyingi za kijamii.

Nami nitoe tahadhari tu kwa serikali kuwa, kila jambo la maendeleo lazima lianze kwa kumuangalia mwananchi (well being). Huo ndiyo ubinadamu (utu au humanity). Kufunga huduma za kijamii ni hatua mbaya ambayo serikali yoyote ile inaweza kuchukua dhidi ya wananchi wake.

Jamii ya kimasai ni jamii ambayo bado ina social structure yenye nguvu sana na ujasili wa hali ya juu.
Hapa watu wakishupaza shingo, soon damu itamwagika kama mwaka jana tena.

Busara itumike.

Mwananchi kwanza, mengine baadaye.
Ccm ni majizi
 
KWA UJINGA NA UPUMBAVU UNAOENDELEA HUKO NGORONGORO NA KWA JINSI WASHENZI WACHACHE WANAOWACHOCHEA MASAI KUFANYA MIGOMO YA KIPUMBAVU, NA KWA JINSI MASAI WALIVYOZALIANA KWA WINGI NGORONGORO MPAKA KUTISHIA HIFADHI, SASA NI WAKATI WA KWA HEKIMA ZETU KUCHAGUA JE TUNAHITAJI EXISTENCE YA NGORONGORO KWA MIAKA YA BAADAE AU HAKUNA HAJA YA HILO?, TUNATAKA NGORONGORO IGEUKE JIJI?, SASA SIJUI TUNATAKA NINI TUSIPOYADHITI HAYA KATIKA WAKATI HUU

Tahadhari, :-

MAMBO MUHIMU YA UHIFADHI WA RASILIMALI ZA MBUGA ZETU ZILIZOPO KWENYE MIPANGO YA UHIFADHI NA URITHI WA DUNIA, TUSIGEUZE KUWA MASUALA YA KISIASA, UHIFADHI HAINA UDUGU NA SIASA! TUELEWE HILI.
 
Unateseka ukiwa unakatwa gogo wapi desirii
 
Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi.

Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki kuama, imelazimika kufunga huduma nyingi za kijamii.

Nami nitoe tahadhari tu kwa serikali kuwa, kila jambo la maendeleo lazima lianze kwa kumuangalia mwananchi (well being). Huo ndiyo ubinadamu (utu au humanity). Kufunga huduma za kijamii ni hatua mbaya ambayo serikali yoyote ile inaweza kuchukua dhidi ya wananchi wake.

Jamii ya kimasai ni jamii ambayo bado ina social structure yenye nguvu sana na ujasili wa hali ya juu.
Hapa watu wakishupaza shingo, soon damu itamwagika kama mwaka jana tena.

Busara itumike.

Mwananchi kwanza, mengine baadaye.
Nakazia naunga mkono hoja.
 
Unateseka ukiwa unakatwa gogo wapi desirii
Nadhani umeanza kuelewa point ipo wapi?

Tahadhari, :-

MAMBO MUHIMU YA UHIFADHI WA RASILIMALI ZA MBUGA ZETU ZILIZOPO KWENYE MIPANGO YA UHIFADHI NA URITHI WA DUNIA, TUSIGEUZE KUWA MASUALA YA KISIASA, UHIFADHI HAINA UDUGU NA SIASA! TUELEWE HILI.
 
Nasimama nao, ila mbona kama kuna kampeni ya kumuangusha Mwenyekiti wenu 2025? Nadhani haya yote yanayotokea yako well calculated and planned mbali Sana Sana
Ila atakuwa anajiangusha mwenyewe, hii movement nzima aliyeikomalia ni yeye mwenyewe. Nadhani pia ana maslahi makubwa sana na hiyo issue, pengine ilipofikia inabidi atumie busara badala ya mabavu
 
Back
Top Bottom