Mambosasa ajibu maswali ya Rais Magufuli kuhusu kutekwa Mo Dewji

Hii move ni ngumu sana kuliko move zote wachezazo,maana kipengele kigumu ni kumpata Mzungu halisi wa kucheza episode 3.Heri wangekaa kimya ipite hivyo hivyo, s
 
wangezungumzia pia na ubora wa zile picha za cctv camera
 
Mambosasa alihitimisha kazi yake vizuri sana kwa kunywa chai na mhanga! Sijui mnataka aseme nini zaidi.
 
Mambosasa hupaswi kumjibu mkuu wako wa kazi namna hiyo.

Hiyo tunaita Gross Insubordination! !
 
Kwa hiyo rais hayupo informed? By the way kuna mambo ambayo Mambosasa hajaya ongelea ambayo rais aliya lalamikia.
1. Mazingira ya upatikanaji ya mtekwaji
2. Mambosasa kuonekana anakunywa chai na mtekwaji.
Hayo ndiyo alitakiwa kuyatolea ufafanuzi
 
Mambonow kagoma kuwa mbuzi wa kafara. Hii movie ni kama ile ya Kikokotoo.

Kawaida lazima atupiwe mtu pira ili mkuu awe msafi. Hili limemuangukia Mambonow

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heeh! Anamjibu amiri jeshi mkuu? Maajabu haya
 
Na ndio ujue hata jiwe linao elites ambao wao hawaguswi wengine hakuna kuuliza. Kama kweli anapambana na rushwa IGP alipaswa kuwa nje ya ofisi hawa ndio kielelezo cha rushwa nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna TAASISI ambazo huwa ni kichaka cha ukiritimba ofisi ya DCI,TRA na ARDHI.Usiombe uendwe taasisi hizo hawakawii kukuambia faili lako limepotea
 
Kwa hiyo rais hayupo informed? By the way kuna mambo ambayo Mambosasa hajaya ongelea ambayo rais aliya lalamikia.
1. Mazingira ya upatikanaji ya mtekwaji
2. Mambosasa kuonekana anakunywa chai na mtekwaji.
MO AMEWEZAJE KULETWA MPAKA GYMKHANA USIKU ULE BILA WATEKAJI KUKAMATWA TENA NA GARI LINALO FANANA NA LILE LILE LA POLISI WALILOLITILIA SHAKA?
MAMBOSASA AMEWEZAJE KUNYWA CHAI KABLA YA KUWAKAMATA WATEKAJI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…