Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani narudia kusema, kama mpira ungekuwa unachezewa chumbani kuna watu wangretufunga kamba mno, ebu fikiria watu kama kina try again?Wivu tu
Kwahiyo hata ule ushindi dhidi ya Wydad ulikuwa ni upendeleo wa marefa?
Hata Tanzania Simba inapendelewaMamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL.
Africa ujanja ujanja kila sehemu
Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape upendeleo na wao
Hakuna ni project ya Motsepe ndio imetiki basi jamaa kipindi anaanza kuijenga hiyo team alibezwa sana na hao giants ambao kimsingi walikuwa wamelala alitumia mabilioni ya rand kuwaita Barcelona wacheze na team yake huku pia wakibadilishana utaalamu Sasa matunda yanaonekanaHii hii Mamelodi ambayo inacheza soka safi au....? [emoji2]
Hii hii ambayo kila msimu inadhihirisha ubora wake kwa kuongoza kundi analopangiwa wakati wasouth wenzao sijui wanaishiaga wapi ?...
Hii hii ambayo Al ahly, Petro de Luanda, Wydad nk kuwafunga kwao sio kitu kigeni masikioni mwao ?...
Kuna muda Unafungwa na Mamelodi Sundowns ,unashindwa kumlaumi beki au kiungo ama kipa maana Unafungwa Goli unakubali kwamba dah Hawa jamaa wana uwezo basi tu.[emoji2][emoji119]
Mamelodi ana project ambayo imewatenganisha wao na Timu zingine kwenye makapu mawili tofauti na Timu zingine kama Orlando, kaizer, supersport sijui amazulu nk...... na kwa timu zote za wanaume na wanawake wapo vizuri sana.
Karibu kila mchezaji ana namba zaidi ya Moja anaocheza uwanjani na katika namba yake kuna wachezaji wawili au zaidi wanaocheza hiyo namba Tena wenye viwango sawa na anaetolewa sub .....[emoji2][emoji119]
Hao wengine waendelee kucheza ule Mpira wao wa kupanda juu ya mpira ,kucheza na jukwaa ....wenzao wanawaaacha siku Hadi siku na lazima walalamike maana timu zao zenye mashabiki wengi hazifanyi vizuri.[emoji2]
Yote kwa yote ...
May be sababu hatupo south hatujui kinachoendelea ....may be [emoji2]
Mpira unachezwa kila mtu ana onaHii hii Mamelodi ambayo inacheza soka safi au....? [emoji2]

Barcelona walikua bora,lakini pia walikua wakibebwaKuna kipindi timu ikiwa bora zaidi itaonekana inabebwa mfano barcelona kuna kipindi ilikuwa bora zaidi zaidi ikaonekana inabebwa vile vile yanga ndani ya tanzania pia inaonekana inabebwa hata simba kuna kipindi ilikuwa bora pia maneno kama haya yalikuwepo
Ask herWivu tu
Kwahiyo hata ule ushindi dhidi ya Wydad ulikuwa ni upendeleo wa marefa?
Sasa unaona watu wenye plan na idea chanyaHakuna ni project ya Motsepe ndio imetiki basi jamaa kipindi anaanza kuijenga hiyo team alibezwa sana na hao giants ambao kimsingi walikuwa wamelala alitumia mabilioni ya rand kuwaita Barcelona wacheze na team yake huku pia wakibadilishana utaalamu Sasa matunda yanaonekana
Sasa wako na pungufu ya mechi 4 kwenye ligi lakini bado wanaongoza
Kocha aliyepo alipelekwa kusoma kwenye club ya Liverpool wao kaizer Nabi aliwaambia aende pale na benchi lake wakamgomea acha wale matunda