Mamelodi Sundown inapendelewa. Mashabiki wa ligi ya PSL Afrika Kusini wameanzisha petition

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL.

Africa ujanja ujanja kila sehemu

Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape upendeleo na wao

Screenshot_20231118-230603_Firefox.jpg
 
Wivu tu

Kwahiyo hata ule ushindi dhidi ya Wydad ulikuwa ni upendeleo wa marefa?
Yani narudia kusema, kama mpira ungekuwa unachezewa chumbani kuna watu wangretufunga kamba mno, ebu fikiria watu kama kina try again?

Sasa mpira wa Mamelodi, unahitajia nini kubebwa? Pale South Africa, timu gani ambayo walau inaisogelea kwa ubora? Timu ambayo inakalisha Afrika nzima na hamna mtu aliyenyanyua mdomo kupinga ushindi wao.

Hao acha warukeruke tu.
 
Hii hii Mamelodi ambayo inacheza soka safi au....? 😃

Hii hii ambayo kila msimu inadhihirisha ubora wake kwa kuongoza kundi analopangiwa wakati wasouth wenzao sijui wanaishiaga wapi ?...

Hii hii ambayo Al ahly, Petro de Luanda, Wydad nk kuwafunga kwao sio kitu kigeni masikioni mwao ?...

Kuna muda Unafungwa na Mamelodi Sundowns ,unashindwa kumlaumi beki au kiungo ama kipa maana Unafungwa Goli unakubali kwamba dah Hawa jamaa wana uwezo basi tu.😃🙌

Mamelodi ana project ambayo imewatenganisha wao na Timu zingine kwenye makapu mawili tofauti na Timu zingine kama Orlando, kaizer, supersport sijui amazulu nk...... na kwa timu zote za wanaume na wanawake wapo vizuri sana.

Karibu kila mchezaji ana namba zaidi ya Moja anaocheza uwanjani na katika namba yake kuna wachezaji wawili au zaidi wanaocheza hiyo namba Tena wenye viwango sawa na anaetolewa sub .....😃🙌

Hao wengine waendelee kucheza ule Mpira wao wa kupanda juu ya mpira ,kucheza na jukwaa ....wenzao wanawaaacha siku Hadi siku na lazima walalamike maana timu zao zenye mashabiki wengi hazifanyi vizuri.😃

Yote kwa yote ...
May be sababu hatupo south hatujui kinachoendelea ....may be 😃
 
Hao mashabiki wasifikiri hizo changamoto zipo huko kwao tu, waje na huku kwenye nchi ya Kusadikika, ili wajionee wenyewe timu fulani hivi namna inavyobebwa waziwazi na rais wa shirikisho, pamoja na Bodi yake ya Ligi!

Yaani timu imepewa mpaka waamuzi maalum wa kuwasaidia kupata ushindi kwenye mechi mbalimbali kupitia magoli ya kuotea, kadi nyekundu zenye utata kwa wapinzania, nk.
 
Hii hii Mamelodi ambayo inacheza soka safi au....? [emoji2]

Hii hii ambayo kila msimu inadhihirisha ubora wake kwa kuongoza kundi analopangiwa wakati wasouth wenzao sijui wanaishiaga wapi ?...

Hii hii ambayo Al ahly, Petro de Luanda, Wydad nk kuwafunga kwao sio kitu kigeni masikioni mwao ?...

Kuna muda Unafungwa na Mamelodi Sundowns ,unashindwa kumlaumi beki au kiungo ama kipa maana Unafungwa Goli unakubali kwamba dah Hawa jamaa wana uwezo basi tu.[emoji2][emoji119]

Mamelodi ana project ambayo imewatenganisha wao na Timu zingine kwenye makapu mawili tofauti na Timu zingine kama Orlando, kaizer, supersport sijui amazulu nk...... na kwa timu zote za wanaume na wanawake wapo vizuri sana.

Karibu kila mchezaji ana namba zaidi ya Moja anaocheza uwanjani na katika namba yake kuna wachezaji wawili au zaidi wanaocheza hiyo namba Tena wenye viwango sawa na anaetolewa sub .....[emoji2][emoji119]

Hao wengine waendelee kucheza ule Mpira wao wa kupanda juu ya mpira ,kucheza na jukwaa ....wenzao wanawaaacha siku Hadi siku na lazima walalamike maana timu zao zenye mashabiki wengi hazifanyi vizuri.[emoji2]

Yote kwa yote ...
May be sababu hatupo south hatujui kinachoendelea ....may be [emoji2]
Hakuna ni project ya Motsepe ndio imetiki basi jamaa kipindi anaanza kuijenga hiyo team alibezwa sana na hao giants ambao kimsingi walikuwa wamelala alitumia mabilioni ya rand kuwaita Barcelona wacheze na team yake huku pia wakibadilishana utaalamu Sasa matunda yanaonekana
Sasa wako na pungufu ya mechi 4 kwenye ligi lakini bado wanaongoza
Kocha aliyepo alipelekwa kusoma kwenye club ya Liverpool wao kaizer Nabi aliwaambia aende pale na benchi lake wakamgomea acha wale matunda
 
Mpira unachezwa kila mtu ana ona
 
Ukiibetia timu matokeo fulani halafu ikafanya tofauti na vile umeibetia ni lazima uichukie kwasababu imekuchania mkeka wako.

Kwa wasioujua mpira Mamelodi inapendelewa, kwa wanaoujua mpira Mamelodi wanapambana sana na ndio sababu wanapata matokeo mazuri.

Kwa mfano ushindi wa Mamelodi dhidi ya Wydady unawezaje kusema Mamelodi alipendelewa?
 
Kuna kipindi timu ikiwa bora zaidi itaonekana inabebwa mfano barcelona kuna kipindi ilikuwa bora zaidi zaidi ikaonekana inabebwa vile vile yanga ndani ya tanzania pia inaonekana inabebwa hata simba kuna kipindi ilikuwa bora pia maneno kama haya yalikuwepo
Barcelona walikua bora,lakini pia walikua wakibebwa
 
Hakuna ni project ya Motsepe ndio imetiki basi jamaa kipindi anaanza kuijenga hiyo team alibezwa sana na hao giants ambao kimsingi walikuwa wamelala alitumia mabilioni ya rand kuwaita Barcelona wacheze na team yake huku pia wakibadilishana utaalamu Sasa matunda yanaonekana
Sasa wako na pungufu ya mechi 4 kwenye ligi lakini bado wanaongoza
Kocha aliyepo alipelekwa kusoma kwenye club ya Liverpool wao kaizer Nabi aliwaambia aende pale na benchi lake wakamgomea acha wale matunda
Sasa unaona watu wenye plan na idea chanya

mgunda angeenda sevilla kujaza cv kipindi kile wanakaushirikiano sahv tungekua wapi

Wasauzi walifikiria mbali

Linaletwa li kocha kuongea kingereza shida unafkiri itakuwa rahisi kumuelewa kweli

Anyway big up kwa uongozi
 
Back
Top Bottom