Mamelodi Sundowns wako Overrated

Muulize haya maswali

Mamelodi kwa sifa zake zote hizo amewai kutwaa ubingwa wa Caf mara ngapi ?

Na pia mamelodi amewai kufika nusu fainali mara ngapi ?

Akikupa majibu utajua mamelodi yupo over rated
Inawezekana kabisa akaishia nusu fainali kama ambavyk amekua akifanya misimu ya hivi karibuni
 
Ni bora ufiche ujinga wako, hujui mpira, Raja wanapangwa vipi na Simba wakati wapi kundi moja?
Je Wasipopangwa nusu hawawezi kukutana?

Huoni hapo nimetaja timu 4 zote zilizoongoza makundi. Ili ufike fainali unawez kukutana na yeyote katika waliobaki
 
Inawezekana kabisa akaishia nusu fainali kama ambavyk amekua akifanya misimu ya hivi karibuni

Ni Lini amefika nusu fainali katika hiyo misimu ya hivi karibuni ?

Taja mwaka gani amefika nusu fainali ili tujue hiyo misimu ya hivi karibuni yukoje
 
Habari wakuu

Awali ya yote ningependa ku-declare interest kuwa nawataka Masandawana. Twende kwenye mada, imezuka mijadala mingi sana mitandaoni hususani kwa baadhi...
Tushajua mshabiki unajifariji
 
Ni Lini amefika nusu fainali katika hiyo misimu ya hivi karibuni ?

Taja mwaka gani amefika nusu fainali ili tujue hiyo misimu ya hivi karibuni yukoje
Kwani alitolewa na petro kwenye raundi gani ?
 
Simba ametwaa kombe la CAF mara ngapi
 
Simba ametwaa kombe la CAF mara ngapi

Simba hajawai kutwaa kombe la caf.

Hio haiondoi ukweli kwamba mamelodi hana mpira wala mafanikio kuliko wenzake waliiongoza makundi . Ambao ni esperence, waydad na raja casablanca..

Simba na mamelodi wamezidiana kidogo sana kimafanikio caf.. tofauti na simba alivyozidiwa mbali na esperence, raja, na waydad.

Ni sahihi simba kumtaka mamelodi maana ndio mnyonge kuliko hao wengine
 
Tema mate chini mkuu, Simba hii tutapigwa kama ngoma na mamelody

Binafsi namuomba esperance de tunis.
 
Hawa Masandawana wanaogopa kukutana na simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…