Mechi zake na timu ya Al ahly tu ndio huwa factor ya kumpima mamelodi?
Mamelodi kwa sifa zake zote hizo amewai kutwaa ubingwa wa Caf mara ngapi ?
Na pia mamelodi amewai kufika nusu fainali mara ngapi ?
Tunaomb rekodi zake za kufika hizo stage caf za miaka yote toka timu ya mamelodi imeanzishwa mpaka leo ili tujue kama ni mkali ama yupo over rated.
Mamelodi amewai mfunga waydad ?
Mamelodi amewai mfunga esperence ?
Mamelodi amewai mfunga raja casablanca ?
Mfano mwaka huu Liverpool kamfunga man utd 7 - 0, ndio tuseme liverpool anatisha level ya kutwaa ubingwa sababu kamfunga utd goli 7