Mamelodi Sundowns wako Overrated

Hana mafanikio kivip nawakati mamelodi ana kombe la CAF ambalo simba hana., sasa hayo mafanikio unayoongelea ni yapi

Acha uzwazwa mwenzako ana makombe yote ya CAF champion na confederation alafu unasema mko sawa hio ni akili au matope
 
Timu zilizokuwa kundi moja huwa zinakutana Fainali sio robo wala nusu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mzee Chama atakuwa Mzee kwenye mechi za robo fainali!
 
Sio kwa wachezaji hawa ase, hawa kina Chama anaekimbia upande upande kama kachezewa spika?
Bora huyo anayekimbia upande upande kuliko yule anayekunja bukta linakuwa kama pampas kazi kutema mate hata la maana analofanya hamna..
 
Unaulizwa swali kabla hujalijibu, unauliza swali jipya.

Jibu la swali lako mamelodi alitolewa na petro kwenye hatua ya robo fainali
Aah shukrani nilidhani alifika nusu
 
Tema mate chini mkuu, Simba hii tutapigwa kama ngoma na mamelody

Binafsi namuomba esperance de tunis.
Mkuu,, Simba ni ya nane kwa viwango vya Caf barani africa, hivyo kama Giant huwezi kuhofia kukutana na Giant wengine wa Africa ni kujipanga tu,, Cha msingi Mo aweke mzigo wa kutosha tuongeze Quality kwenye kikosi,, Simba ni Giant kwa sasa Africa.
 
Hana mafanikio kivip nawakati mamelodi ana kombe la CAF ambalo simba hana., sasa hayo mafanikio unayoongelea ni yapi

Acha uzwazwa mwenzako ana makombe yote ya CAF champion na confederation alafu unasema mko sawa hio ni akili au matope
Mkuu Arsenal, Man city, Tottenham zote ni timu kubwa barani ulaya ila hawana kombe la Uefa,,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…