Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

Tumrudishe katika hali yakr kabla ya ndoa na Mengi.

Matumizi yake yalikuwaje??

This is absurd.

Matunzo anayaomba sio kwa ajili yake bali ni kwa ajili ya watoto wa Mengi..

Watoto wa bilionea lazima waishi kibilionea..

Ni sawa na wewe upewe mtoto wa Mo dewji umlee halafu utegemee kuomba vilaki laki kumtunza huyo mtoto
 
Muoaji ba muolewaji anaweka tamaa kubwa. Ya kutaka mpaka jasho lile ambalo yeye haja lichuma. Alikuta pesa za watu hivyo asitake zote atake kilicho halali yake
Anaeamua nani amiliki nini ni nani?
Muoaji akimmilikisha vyote kuna kosa? Si maamuzi yake na mali zake? Hao watoto wa mwanzo washakua wakubwa wajitafutie wenyewe.... Mwisho wa mtoto ni miaka 21 hao wazee badala watafute chao wanamsumbua binti wa watu wanajua raha na mateso aliyopitia na huyo mke mdogo?
 

Watu wana miaka zaidi ya 50 ila wanajiita watoto wanagombea mirathi
 
Sawa ila kwani sheria inasemaje.. ? Kuhusu hili.? Mm naweza kuwa labda sioni mbali ila nasimamia ninachojua wewe unaeona mbali mbona hutuelezei huo umbali unaosemea.?
Sheria gani mazee inasimamia ulichandika kuwa wazee wasioa wasichana wadogo? Mbona unabwabwaja tu?
 
Usijaribu kuoa mwanamke mchawi
 
Nawashangaa mnaomlaumu huyo dada!! Kwahyo mnataka awaachie mali?angekuwa dada yako je?
 
Nawashangaa mnaomlaumu huyo dada!! Kwahyo mnataka awaachie mali?angekuwa dada yako je?
Mkuu Salama
Nauliza Tu Unieleweshe Kidogo
Mfano Bonite Bottlers Limited
IPP Media
Na Vingine Vingi
Nadhani Mzee Alikuwa Navyo Kabla Jackline Hajazaliwa
Leo Wampe Tu Kwa Kutumia Janja
 
Hakuna pesa makampuni yote yana jiendesha kwa mikopo, nyumba zake zote zimewekwa rehani kwenye mabanki!
Huyu mama hajui anacho tafuta ni mwendawazimu mflani tu walahi!
Watoto watunzwe kwa kiwango ambacho baba yao alikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…