Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

Sasa mkuu mwenye uzoefu umeishia tu kusema fuso ya tani 4 ameitoa wapi embu tujuze tusiojua yapo ya tani ngapi hayo mafuso? Na je kweli ukiongeza body inafika tani 12?
 
Wazee wa zzziiiiii chaaaaa zzziiiiiii chaaaa zzziiiiii chaaaaaa, na kuchafua cabin kwa stickers, wamiliki wa fuso wananatakiwa wazuiwe hii tabia ya kuongeza ukubwa wa body huko nyuma na zbak vpis kma znavyotoka kiwandani.
Hailipi,tozo na makodi kibao utajilipaje sasa.
 
Tote hayo chanzo ni ushuru komozi.
Lori zingeingia free Ili zikazalishe yote yasingetokea.
Scania ton 10 UK milioni 20 ukileta tu bongo utaliacha Bandarini ushuru wake ni mara tatu,
 
[emoji2] 2001 Nliwai Kukutana na fuso usiku nikiwa na sedan,
Yale mataa ilkua ndo mara yangu ya Kwanza kuyaona, Kuna wenge flan hv lilinipitia nikachochora mtaroni kwa usalama wangu
Ungewaambia apunguze akigoma unambinulia kioo cha kujitazamia mwanga unamrudia mwenyewe aione shughuli yake
 
Sasa mkuu mwenye uzoefu umeishia tu kusema fuso ya tani 4 ameitoa wapi embu tujuze tusiojua yapo ya tani ngapi hayo mafuso? Na je kweli ukiongeza body inafika tani 12?
Tani 17 inafika mkuu

Sijataka kuongea humu tu kwenye uzi wa watu.

Ila nimeshachangia humu uzoefu wangu wa magari ya mizigo mkuu.

Ngoja ntatafuta huo uzi nikuwekee
 
Hasa barabara ya Dar, Klm hadi Arusha
 
TBS TANROADS hawaoni, je hayapiti mizani kupima!!
 
Mimi nimependa wanavyozi pimp mataa ya rangi otee
 
Mwezi uliopita wa 8, nimetoka zangu Iringa kuelekea Moro si nikasema ngoja nidandie tank maana ilikua usiku saa tatu.
Eeh bwana ikajitokeza fuso nikasema sio mbaya ngoja niingie maana comfortability ya tank imezidi kwa fuso.

Ile fuso ilipakia njegere, ule mwendo sijawahi kuona tangu nazaliwa.
Nilicho jifunza hawa jamaa wa fuso wengi wanakodiwa kubeba mali mbichi kama nyanya, bamia, viazi waziwahishe sokon mapema kwa hiyo huo mwendo sasa.

Nikarud kweny kitand nikasema angalau likitikea la kutokea naweza kusalimika ila wapi usingiz uligoma kabisa.
 
Mjapan aliyetengeneza fuso ni balaa. Ila mchina aliyetengeneza howo ni mtu mbaya. Zile gari howo ni mbaya kuliko fuso ila ndio hivyo watu hatufatilii.
 
Usilojua pia Fuso inaponunuliwa huwa inabadilishwa Spring,aina ya tairi inazotumia,inanyayuliwa na body inaongezwa ukubwa ili iweze kubeba mzigo mkubwa.Kwahiyo ile stability iliokuja nayo yote huwa inapotea...
 
Kikubwa ni chasis lazima iongezwa tyre zinaweza Baki size Ile Ile
 
Hoja yako ni yamsingi sana
 
Usilojua pia Fuso inaponunuliwa huwa inabadilishwa Spring,aina ya tairi inazotumia,inanyayuliwa na body inaongezwa ukubwa ili iweze kubeba mzigo mkubwa.Kwahiyo ile stability iliokuja nayo yote huwa inapotea...
Vipi mfumo wa breki? Nao huwa unabadilishwa.......maana kama system ni kuhimili tani kadhaa zikiongezeka inakuaje?
 
Upo sahihi kuna siku usiku tukiwa kwenye coasta Mbeya-Tunduma, eneo fulani kabla ya Mlowo kuna mtelemko, tulikuwa tunapanda fuso inashuka huku inakata mauno, daah tulinusulika sana pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…