Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

Acha ubaguzi, mbona mitaani kwetu kuna matusi mazito zaidi ya hayo, wanawake kwa wanawake wanatukanana, wanawake wanawatukana matusi mazito watoto na waume zao, kila siku ni matusi kuanzia asubuhi mpaka kitandani.
 
Kweli kingereza kigumu, mtu yeyote mwenye kuelewa akimsikiliza huyu mzungu hawezi kuegemea upande mmoja kwamba kasema wanawake, huyu mjinga kachambua wanawake kwa kiasi Chao na wanaume kwa pamoja tumsemwa kwa kucheat,kuishi maisha ya showoff kujifanya tuna fedha wakati hatuna, kupenda kupewa ofa ( hasa wachaga) hivyo tumedharaurika wote si wa kike wala wakiume
 

Nilikuwa napatwa uvivu kuangalia/sikiliza video

Asante kwa summary
 
harsh truth
 
Wapi kakosea?
 
We unaingia kwenye mfumo wake, mwenzako anatafuta subscribers na engagement kwenye Youtube yake. Hii inaitwa ‘RAGE BAIT’, nenda kasearch maana ya hilo neno..

 
Nauliza tu ukweli mchungu tuutoe kwa nani, mtoa mada au mzungu wa youtube.

Mimi nawaambia tu Wakuu mkitembea na wanawake kutoka Manyara, Singida na Karatu vaa na vua condom kwa umakini. La sivyo gono ileee inakunyemelea.

Usiniulize zaidi ila mzungu asikilizwe.
 
Wacha tutukanwe hatujitambui bora ningezaliwa kenya
 
Mimi sasa ivi naogopa hata kuchukua namba za mademu. Nina Demu na mtongoza lakini namba sijamuomba nikitoka kazini nampitia kazini kwake kumpiga swaga. Kati ya kesho au kesho kutwa nitamla na namba yake ya simu sitaki
 
Ungezea Dodoma apo. Pia zinatoa harufu Kama mzoga
 
Magonjwa ndio usiseme, Fangass, Kaswende, Gonorrhea,UTI, Hepatitis bila kusahau baba lao.. Ngwengwe aka dumuzi aka Ukimwi.

Yaani wamejaa magonjwa kama yote.. Hapo ongezea na uchafu na kutoa harufu kwenye K..
 

Anatakiwa apongezwe kwa huo ukweli. Na haya hayaathiri utalii, labda Kama una utalii wako wa ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…