Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

Acha ubaguzi, mbona mitaani kwetu kuna matusi mazito zaidi ya hayo, wanawake kwa wanawake wanatukanana, wanawake wanawatukana matusi mazito watoto na waume zao, kila siku ni matusi kuanzia asubuhi mpaka kitandani.
Matusi ya ndugu kwa ndugu ni kawaida ila muhamiaji kutoka atokako na kuwatukana hao ndugu sio kawaida, na lazima ndugu mtaungana kumfurusha huyo fedhuli
 
Nyie watu wa ccm hamjazoea kuambiwa ukweli sasa hapo kadanganya nini sasa?...Acha ujinga
 
Tatizo watu wengi hatupendi kuambiwa ukweli, alichoongea huyo mzungu kina asilimia kubwa ya ukweli Culture Me
Hatujakataa ndio maana kwenye maelezo yangu nilitoa ushauri kwa both Ke na Me, tatizo linakuja huyo mzungu kwanini ajumuishe wanawake na wanaume wote wakati ni wazi kabisa circle yake ni ya machawa na hua anapata wadangaji
 
Hata kama wanawake wote hawapo hivyo. Ukimsikiliza kwa makini na ukafuata anachokisema hata wanawake wasio danga watakuheshimu.
 
Hatujakataa ndio maana kwenye maelezo yangu nilitoa ushauri kwa both Ke na Me, tatizo linakuja huyo mzungu kwanini ajumuishe wanawake na wanaume wote wakati ni wazi kabisa circle yake ni ya machawa na hua anapata wadangaji
Aliyoyasema hata sie yanatupata.

Wengi member wa JF wanajisifia kuwa Mwanaume akiomba namba, mpe na kama humpendi mwombe pesa!

Hujaona humu wanavyofunzana akinadada wa JF Niwataje?
 
Aliyoyasema hata sie yanatupata.

Wengi member wa JF wanajisifia kuwa Mwanaume akiomba namba, mpe na kama humpendi mwombe pesa!

Hujaona humu wanavyofunzana akinadada wa JF Niwataje?
Watajeeeeeeeeeeeeeeeeee, lol😂😂😂
 
ukigundua mwanamke kakaa kutapeli wewe mtapeli zaidi ili apate adabu , ikiwezekana mpe ahadi ambayo haitotimia fullstop
Hivi ndivyo inavyotakiwa kua ila ubaya hua wanatengeneza trust mapema ili usishtuke km unapigwa
 
Nimechefukwa kiasi nikisikiliza hiyo naweza maliza creti la safari lager 🤣🤣 yaani kafikia hadi kutaja wachaga mkuu 😒
Mbona wachaga ni wadangaji wa kimataifa mkuu, wapo wanaowekewa nyeti ili tu wapigwe pipe wajipatie pesa, cheki Kama Kuna mwanamke wa kichaga anaolewa na kysaka asiye na hela ama asiyejiweza. Mwanamke wa kichaga akiwa kwa mmewe mwenye Mali anajitahidi kuwanyanyua wadogo zake, watasomea kwa shemeji na watapewa mitaji,akikataa anauliwa
 
Usiwe biased wachagga wa kiume ndiyo wanawafanya dada zao wawe wadangaji. Yupo sahihi kabisa, wanaume wa kichagga wanapenda vya bure —-komba kyaru——-
Hakuna mchaga anayekuwa rafiki wa kweli na WA that otherwise kuwe na materials gains
 
Mbona kawachana ukweli Yani unakuta dada unafake maisha ili uolewe na mzungu Kuna mpangaji jirani yangu alijishobokesha sana Kwa mzungu mpaka akifirwa na kurekodiwa kumbe mzungu mwenyewe Koko Hana maisha
Duuuh! Mbna hatariii. Lol
 
Ni kweli mtupu, kwani wewe huwaoni mtaani kwenu?, call a spade a spade not a big spoon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…