Sasa ndani ya miaka 7 sinihela nzuri tu hio mkuu! Na huo mshahara wa kawaida kuna watu kwa mishahara yao anaweza vuta hata 100M mzee ya fasta.Unachosema ni sahihi kuna siku nilienda nmb kuulizia mkopo wakaniambia nipeleke salary slip nikapeleka baada ya kukokotoa wakaniambia unaweza kupata mkopo wa 24m na unatakiwa kurudisha ndani ya miaka 7 ya Utumishi.
Kwa hiyo unachosema ni sahihi kabisa kwa hizi gari za 10-12m unapata bila ya wasi mkuu.
Tra sio halmashauri,Entry level Officer II ulipwe 2.3 Mil.
NABISHAAA
#YNWA
Yeah hiyo Ni tra sio Kinondoni municipal councilEntry level ya Officer II ulipwe 2.3 Mil
😏😏😏😏😏
#YNWA
Mange anasemaga "NAKOJOAAAAA"Yeah hiyo Ni tra sio Kinondoni municipal council
Ukiwa legal Officer unalipwa 3.2 M ambao Ni mishahara ya maafisa utumishi wanne wa halmashauri
Mange kwenye insta yake Kuna jibu huwa anatoa "NAKOJOAAAAA"Tra sio halmashauri,
Halmashauri Ni tgs d laki7Mange anasemaga "NAKOJOAAAAA"
🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
#YNWA
Mshahara si maisha ndugu.Halmashauri Ni tgs d laki7
Mshahara una Nafasi kubwa kwenye maendeleo,Mshahara si maisha ndugu.
Find the side hustle na komaa nayo.
#YNWA
Pole sanaa kwa haya mawazo yako ila mi binafsi....Mshahara una Nafasi kubwa kwenye maendeleo,
Pole sanaa kwa haya mawazo yako ila mi binafsi....
View attachment 2182816
1. Am the farmer wa Parachichi + miti ya mbao.
2. Nawasaidia watu kupata scholarship
3. Research, proposal, business plan, E.t.c writer
Those 👆👆 are my side hustle.
Kengine (out the box)...
Na sababu hasa ya kwenda kusoma scholarship nchi niliyoichagua ni kwamba "I need to do something big".
Nchi niendayo nataka pia kwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza mafuta mazuri ya Parachichi ili niwe Avocado Oil manufacturer hapa TZ.
Nchi niendayo inalima sanaa Parachichi.
Na Mimi nina mashamba makubwaa, yotee nikipanda Parachichi nitakuwa na zalisha nyingi sanaaa.
Na huko niendako nishaanda pesa ya kurudi na mashine "Avocado compressor"
Nilichoona wakulima wengi wanauza Parachichi, sasa mimi nimewaza mbele zaidi.
Sitaki kuuza Parachichi, nataka kuuza mafuta ya Parachichi.
Na kuhusu mshahara.
Nina watoto watatu.
Mmoja naishi nae, wawili kila mtu na mama yake (wapo kwa mama zao).
Nilichofanya nimejaza standing order NMB kila mwezi mshahara wanaugawa kwa watoto through account zao nilizo wafungulia.
Kwahiyo mshahara sio wangu ni wa watoto.
KARIBU KIJANA UFIKIRIE OUT THE BOX.
#YNWA
Hawawezi ndio maana Tax Officer Kazi yake ni kuhangaika na makufuli na kufungia biashara za watu ili apate rushwa.
- kwani hayo uliyoyasema kuhusu kilimo, scholarship, proposal, research ofisa wa tra ambaye kakuzidi mara 3+ kwa salary hawezi kuyafanya?
- kuhusu salary Sasa kuwatumia Watoto wako siyo issue Ni pesa kiasi gani? Kama umeanza Kazi halmashauri 2012 means pengine hujafika hata 2M wakati ungekuwa tra ungekuwa kwenye 5+M salary
Inferiority complexesPole sanaa kwa haya mawazo yako ila mi binafsi....
View attachment 2182816
1. Am the farmer wa Parachichi + miti ya mbao.
2. Nawasaidia watu kupata scholarship
3. Research, proposal, business plan, E.t.c writer
Those 👆👆 are my side hustle.
Kengine (out the box)...
Na sababu hasa ya kwenda kusoma scholarship nchi niliyoichagua ni kwamba "I need to do something big".
Nchi niendayo nataka pia kwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza mafuta mazuri ya Parachichi ili niwe Avocado Oil manufacturer hapa TZ.
Nchi niendayo inalima sanaa Parachichi.
Na Mimi nina mashamba makubwaa, yotee nikipanda Parachichi nitakuwa na zalisha nyingi sanaaa.
Na huko niendako nishaanda pesa ya kurudi na mashine "Avocado compressor"
Nilichoona wakulima wengi wanauza Parachichi, sasa mimi nimewaza mbele zaidi.
Sitaki kuuza Parachichi, nataka kuuza mafuta ya Parachichi.
Na kuhusu mshahara.
Nina watoto watatu.
Mmoja naishi nae, wawili kila mtu na mama yake (wapo kwa mama zao).
Nilichofanya nimejaza standing order NMB kila mwezi mshahara wanaugawa kwa watoto through account zao nilizo wafungulia.
Kwahiyo mshahara sio wangu ni wa watoto.
KARIBU KIJANA UFIKIRIE OUT THE BOX.
#YNWA
Ingia tovuti ya Wizara mkuu utazikita, wengine tulitumiwa tangazo kwa njia ya magrop na wahusikaKazi za Kilimo na mifugo hizo za mkataba zimetoka page ipi mkuu
Amen fogo.Amen Dk. Bingwa wa Psychology.
#YNWA
Pole sanaa kwa haya mawazo yako ila mi binafsi....
View attachment 2182816
1. Am the farmer wa Parachichi + miti ya mbao.
2. Nawasaidia watu kupata scholarship
3. Research, proposal, business plan, E.t.c writer
Those [emoji115][emoji115] are my side hustle.
Kengine (out the box)...
Na sababu hasa ya kwenda kusoma scholarship nchi niliyoichagua ni kwamba "I need to do something big".
Nchi niendayo nataka pia kwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza mafuta mazuri ya Parachichi ili niwe Avocado Oil manufacturer hapa TZ.
Nchi niendayo inalima sanaa Parachichi.
Na Mimi nina mashamba makubwaa, yotee nikipanda Parachichi nitakuwa na zalisha nyingi sanaaa.
Na huko niendako nishaanda pesa ya kurudi na mashine "Avocado compressor"
Nilichoona wakulima wengi wanauza Parachichi, sasa mimi nimewaza mbele zaidi.
Sitaki kuuza Parachichi, nataka kuuza mafuta ya Parachichi.
Na kuhusu mshahara.
Nina watoto watatu.
Mmoja naishi nae, wawili kila mtu na mama yake (wapo kwa mama zao).
Nilichofanya nimejaza standing order NMB kila mwezi mshahara wanaugawa kwa watoto through account zao nilizo wafungulia.
Kwahiyo mshahara sio wangu ni wa watoto.
KARIBU KIJANA UFIKIRIE OUT THE BOX.
#YNWA
Karibu Shamba.Kilimo cha kwenye daftari, lete uhalisia mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu baki ulipo tu mzee acha sie twende kwanza utapata muongozo baadae[emoji23] au kama una Million 10 nipe nikufanyie kazi.
- umeona Sasa tax Officer anaweza kupata rushwa, Ni kiasi gani anachukuwa? hatujuiHawawezi ndio maana Tax Officer Kazi yake ni kuhangaika na makufuli na kufungia biashara za watu ili apate rushwa.
Na wajinga mabahili; nilishawahi fanya nao Kazi wiki hawakunilipa hata 100 wale wajinga, mpaka leo nikiwaona sijui wananitaka lazima nitafute sababu NIWAKIMBIE.
Hakuna aliyenizidi maana....
1. Nikiuza Parachichi mchumo mmoja NALIPA MISHARA YOTEE YA TRA STAFF WA HUU MKOA.
2. Nikipasua mbao Eka moja za mlingoti, NALIPA mshahara wotee wa staff ya TRA KINONDONI.
Uhakika huo ninao
Nilichokwambia sijui chochotee kuhusu mshahara, MSHAHARA NI WA WATOTO.
#YNWA