Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Unachosema ni sahihi kuna siku nilienda nmb kuulizia mkopo wakaniambia nipeleke salary slip nikapeleka baada ya kukokotoa wakaniambia unaweza kupata mkopo wa 24m na unatakiwa kurudisha ndani ya miaka 7 ya Utumishi.

Kwa hiyo unachosema ni sahihi kabisa kwa hizi gari za 10-12m unapata bila ya wasi mkuu.
Sasa ndani ya miaka 7 sinihela nzuri tu hio mkuu! Na huo mshahara wa kawaida kuna watu kwa mishahara yao anaweza vuta hata 100M mzee ya fasta.
 
Yeah hiyo Ni tra sio Kinondoni municipal council
Ukiwa legal Officer unalipwa 3.2 M ambao Ni mishahara ya maafisa utumishi wanne wa halmashauri
Mange anasemaga "NAKOJOAAAAA"
🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

#YNWA
 
Mshahara una Nafasi kubwa kwenye maendeleo,
Pole sanaa kwa haya mawazo yako ila mi binafsi....

IMG_20220401_100800_411.jpg

1. Am the farmer wa Parachichi + miti ya mbao.
2. Nawasaidia watu kupata scholarship
3. Research, proposal, business plan, E.t.c writer

Those 👆👆 are my side hustle.

Kengine (out the box)...
Na sababu hasa ya kwenda kusoma scholarship nchi niliyoichagua ni kwamba "I need to do something big".
Nchi niendayo nataka pia kwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza mafuta mazuri ya Parachichi ili niwe Avocado Oil manufacturer hapa TZ.
Nchi niendayo inalima sanaa Parachichi.

Na Mimi nina mashamba makubwaa, yotee nikipanda Parachichi nitakuwa na zalisha nyingi sanaaa.

Na huko niendako nishaanda pesa ya kurudi na mashine "Avocado compressor"

Nilichoona wakulima wengi wanauza Parachichi, sasa mimi nimewaza mbele zaidi.

Sitaki kuuza Parachichi, nataka kuuza mafuta ya Parachichi.

Na kuhusu mshahara.

Nina watoto watatu.
Mmoja naishi nae, wawili kila mtu na mama yake (wapo kwa mama zao).

Nilichofanya nimejaza standing order NMB kila mwezi mshahara wanaugawa kwa watoto through account zao nilizo wafungulia.

Kwahiyo mshahara sio wangu ni wa watoto.

KARIBU KIJANA UFIKIRIE OUT THE BOX.

#YNWA
 
Pole sanaa kwa haya mawazo yako ila mi binafsi....

View attachment 2182816

  • kwani hayo uliyoyasema kuhusu kilimo, scholarship, proposal, research ofisa wa tra ambaye kakuzidi mara 3+ kwa salary hawezi kuyafanya?
  • kuhusu salary Sasa kuwatumia Watoto wako siyo issue Ni pesa kiasi gani? Kama umeanza Kazi halmashauri 2012 means pengine hujafika hata 2M wakati ungekuwa tra ungekuwa kwenye 5+M salary
 
Hawawezi ndio maana Tax Officer Kazi yake ni kuhangaika na makufuli na kufungia biashara za watu ili apate rushwa.

Na wajinga mabahili; nilishawahi fanya nao Kazi wiki hawakunilipa hata 100 wale wajinga, mpaka leo nikiwaona sijui wananitaka lazima nitafute sababu NIWAKIMBIE.

Hakuna aliyenizidi maana....
1. Nikiuza Parachichi mchumo mmoja NALIPA MISHARA YOTEE YA TRA STAFF WA HUU MKOA.
2. Nikipasua mbao Eka moja za mlingoti, NALIPA mshahara wotee wa staff ya TRA KINONDONI.

Uhakika huo ninao

Nilichokwambia sijui chochotee kuhusu mshahara, MSHAHARA NI WA WATOTO.

#YNWA
 
Pole sanaa kwa haya mawazo yako ila mi binafsi....

View attachment 2182816

1. Am the farmer wa Parachichi + miti ya mbao.
2. Nawasaidia watu kupata scholarship
3. Research, proposal, business plan, E.t.c writer

Those 👆👆 are my side hustle.

Kengine (out the box)...
Na sababu hasa ya kwenda kusoma scholarship nchi niliyoichagua ni kwamba "I need to do something big".
Nchi niendayo nataka pia kwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza mafuta mazuri ya Parachichi ili niwe Avocado Oil manufacturer hapa TZ.
Nchi niendayo inalima sanaa Parachichi.

Na Mimi nina mashamba makubwaa, yotee nikipanda Parachichi nitakuwa na zalisha nyingi sanaaa.

Na huko niendako nishaanda pesa ya kurudi na mashine "Avocado compressor"

Nilichoona wakulima wengi wanauza Parachichi, sasa mimi nimewaza mbele zaidi.

Sitaki kuuza Parachichi, nataka kuuza mafuta ya Parachichi.

Na kuhusu mshahara.

Nina watoto watatu.
Mmoja naishi nae, wawili kila mtu na mama yake (wapo kwa mama zao).

Nilichofanya nimejaza standing order NMB kila mwezi mshahara wanaugawa kwa watoto through account zao nilizo wafungulia.

Kwahiyo mshahara sio wangu ni wa watoto.

KARIBU KIJANA UFIKIRIE OUT THE BOX.

#YNWA
Inferiority complexes
 
Pole sanaa kwa haya mawazo yako ila mi binafsi....

View attachment 2182816

1. Am the farmer wa Parachichi + miti ya mbao.
2. Nawasaidia watu kupata scholarship
3. Research, proposal, business plan, E.t.c writer

Those [emoji115][emoji115] are my side hustle.

Kengine (out the box)...
Na sababu hasa ya kwenda kusoma scholarship nchi niliyoichagua ni kwamba "I need to do something big".
Nchi niendayo nataka pia kwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza mafuta mazuri ya Parachichi ili niwe Avocado Oil manufacturer hapa TZ.
Nchi niendayo inalima sanaa Parachichi.

Na Mimi nina mashamba makubwaa, yotee nikipanda Parachichi nitakuwa na zalisha nyingi sanaaa.

Na huko niendako nishaanda pesa ya kurudi na mashine "Avocado compressor"

Nilichoona wakulima wengi wanauza Parachichi, sasa mimi nimewaza mbele zaidi.

Sitaki kuuza Parachichi, nataka kuuza mafuta ya Parachichi.

Na kuhusu mshahara.

Nina watoto watatu.
Mmoja naishi nae, wawili kila mtu na mama yake (wapo kwa mama zao).

Nilichofanya nimejaza standing order NMB kila mwezi mshahara wanaugawa kwa watoto through account zao nilizo wafungulia.

Kwahiyo mshahara sio wangu ni wa watoto.

KARIBU KIJANA UFIKIRIE OUT THE BOX.

#YNWA

Kilimo cha kwenye daftari, lete uhalisia mkuu
 
Hawawezi ndio maana Tax Officer Kazi yake ni kuhangaika na makufuli na kufungia biashara za watu ili apate rushwa.

Na wajinga mabahili; nilishawahi fanya nao Kazi wiki hawakunilipa hata 100 wale wajinga, mpaka leo nikiwaona sijui wananitaka lazima nitafute sababu NIWAKIMBIE.

Hakuna aliyenizidi maana....
1. Nikiuza Parachichi mchumo mmoja NALIPA MISHARA YOTEE YA TRA STAFF WA HUU MKOA.
2. Nikipasua mbao Eka moja za mlingoti, NALIPA mshahara wotee wa staff ya TRA KINONDONI.

Uhakika huo ninao

Nilichokwambia sijui chochotee kuhusu mshahara, MSHAHARA NI WA WATOTO.

#YNWA
- umeona Sasa tax Officer anaweza kupata rushwa, Ni kiasi gani anachukuwa? hatujui
-ukiuza parachichi mchumo mmoja unapata sh ngapi? na unajua TRA huo mko Ina wafanyakazi wangapi? Na je salary ya tra ambayo unaitumia kukokotoa hizo Hesabu zako Ni salary ya 700k au 2.3M/1.8 M (kwa diploma)?
  • Je, una Uhakika kuwa hao wafanyakazi wa TRA huo mkoa wote wanategemea salaries, hawana vyanzo vingine eg.mashamba,magari ya biashara, consultancies,maduka?
  • Kinondoni tax region? Swali Ni lile like je unaUhakika kuwa hao staff wa TRA Kinondoni wanategemea salary?hawana miradi Kama ww?
-hujui chochote kuhusu salary, kwa hiyo hujui hata uko tgs ngapi? Yaani hujawahi kupendishwa Cheo tangu ulivyoajiriwa mwaka2012 kwa ile diploma? Means uko THIS AMBAYO NI 500k
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom