Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

- kwa hiyo afisa Elimu kwa mlipakodi wa TRA anatembelea wafanyabishara wote wa Tanzania?
Umesema "mfunga biashara ni assistant mwenye diplomA"

Ndio nimekuuliza "Mbona huku Afisa elimu ndio mfunga maduka na mgawa vitisho wa kuchukua EFD Mashine?"

#YNWA
 
Reactions: apk
Umesema "mfunga biashara ni assistant mwenye diplomA"

Ndio nimekuuliza "Mbona huku Afisa elimu ndio mfunga maduka na mgawa vitisho wa kuchukua EFD Mashine?"

#YNWA
- hayo ndiyo majukumu specifically kwa tax mgt assistant kufanya physical attendance kwa wafanyabishara, kwa sababu wao ndiyo majukumu yao kwa sababu wafanyabishara Ni Wengi Huyo afisa Elimu kwa mlipakodi hawezi kufanya physical attendance kwa kila mfanyabiashaa nchi nzima(mikoa yote).
 
R.Kayombo huko alipo atakua anatikisa kichwa Kukubali darasa unalompa huyu fogo wa halmashauri.
 
Hakuna entry level ya Officer II serikalini ulipwe 2.4Mil
Nipo serikalini tokea 2012 na nimefanya tafiti nyingii za maslahi ya Utumishi wa umma.

Kwahiyo ya 1.7mil hapo sawa.

#YNWA
Indeed ...yanii umeongea ukweli wa mambo
 
Toka huko halmashauri uliko,
😂😂😂Khee kaka mi siko halmashauri Niko kwenye mamlaka..entry level aliyosema ni sawa for gross hapo Kuna posho nyingine kwahiyo usione mtu anasema it's not true ukahisi ni WA halmashauri
 
Tunachokisema hapa, Kwa waliopata kazi usifocus na maneno ya mitandaoni esp wanaoguess scale. Utakua disappointed
Cha muhimu soon utapata offer letter Yako utajua scale hiyo ni sawa na ngapi then utapiga calculations zako kama unaweza ishi nayo.
 
- ajitahidi tu kuomba Kazi TRA
-au kasoma Sociology? Kwa maana TRA inaajiri Sana Watu wa taxation, Customs,law, Finance, business administration sociology Ni wachache mno mno TRA
Sociology watakufa njaa, hairstyles waajiriwe 200kwa mpigo. Nasikitika sociology Hahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…