Pole sanaa kwa haya mawazo yako ila mi binafsi....
View attachment 2182816
1. Am the farmer wa Parachichi + miti ya mbao.
2. Nawasaidia watu kupata scholarship
3. Research, proposal, business plan, E.t.c writer
Those [emoji115][emoji115] are my side hustle.
Kengine (out the box)...
Na sababu hasa ya kwenda kusoma scholarship nchi niliyoichagua ni kwamba "I need to do something big".
Nchi niendayo nataka pia kwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza mafuta mazuri ya Parachichi ili niwe Avocado Oil manufacturer hapa TZ.
Nchi niendayo inalima sanaa Parachichi.
Na Mimi nina mashamba makubwaa, yotee nikipanda Parachichi nitakuwa na zalisha nyingi sanaaa.
Na huko niendako nishaanda pesa ya kurudi na mashine "Avocado compressor"
Nilichoona wakulima wengi wanauza Parachichi, sasa mimi nimewaza mbele zaidi.
Sitaki kuuza Parachichi, nataka kuuza mafuta ya Parachichi.
Na kuhusu mshahara.
Nina watoto watatu.
Mmoja naishi nae, wawili kila mtu na mama yake (wapo kwa mama zao).
Nilichofanya nimejaza standing order NMB kila mwezi mshahara wanaugawa kwa watoto through account zao nilizo wafungulia.
Kwahiyo mshahara sio wangu ni wa watoto.
KARIBU KIJANA UFIKIRIE OUT THE BOX.
#YNWA