Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mnawacheka watu wa Sociology ila mngejua watu wa Sociology wanatafutwa sana kwenye NGO kama AMREF, World Vision, n.k na wanakula mshahara mrefu kweli
Na mie nashangaa tu hizi dharau zao hawa jamaa. Binafsi kila siku lazima nikutane na tangazo la kazi linalohitaji mtu wa sociology hasa kwenye NGO.
 
Ni Mbeya au?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Khee kaka mi siko halmashauri Niko kwenye mamlaka..entry level aliyosema ni sawa for gross hapo Kuna posho nyingine kwahiyo usione mtu anasema it's not true ukahisi ni WA halmashauri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunachokisema hapa, Kwa waliopata kazi usifocus na maneno ya mitandaoni esp wanaoguess scale. Utakua disappointed
Cha muhimu soon utapata offer letter Yako utajua scale hiyo ni sawa na ngapi then utapiga calculations zako kama unaweza ishi nayo.
Boraa uwaambie ukweli tyuuuh,. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kuna shost kashaanza kutunyanyasa yaan hata barua hajachukua khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa ndio wale wameingia na njaa kali , tusubiri tuone maana wanawaza IST sijui mjengo sijui nini , waangaliwe sana hawa kuna kizazi kimepania sana kupiga ,kwahiyo wasifikiri ni ajira tu waangalie na wafanya biashara watakavyoshughulikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…