Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Omba ile Tax Management ile soma tu Tax Usiingia deep sana ukajizonga na kikubwa angalia ile site ya TRA inasiri sana ile site soma kimoja baada ya chengine maswali yanakuja pale la mwisho ni Job Description uzijue maswali yanatokea pale pia mfano moja ya majukumu ya Tax kupambana na magendo linaweza likaja swali likauliza sababu za Walipaji kupelekea kufanya magendo, hasara na suluhisho la magendo so zipitie pitie hizo duties.Hello tupe hints basi mkuu we ulisoma wapi na wapi tupitie na sisi huko tuchomoke?
Unatafuta material kabla haujawa shortlisted, Mara paaap mkeka unakuja kutoka mwezi wa 8Nilikua naomba kama una material ya mitihani ya tax uweze nipatia au hints nisome sehemu gani unaweza nitumia whatsap 0654722223 naomba pliz unisaidie
Ni muhimu kujiandaa mapema ku cover vitu vya muhimu ili wakisha shortlist huwa pana week tuu unakuwa haupati tabu sana.Unatafuta material kabla haujawa shortlisted, Mara paaap mkeka unakuja kutoka mwezi wa 8
Ndio kilichonitokea walai nilisoma na kuinywa custom yote sas aajbu nikakatwa jina kuwa sijakizi vigezoUnatafuta material kabla haujawa shortlisted, Mara paaap mkeka unakuja kutoka mwezi wa 8
Si mpaka ubahatike kuwa shortlisted, na hapo haujui wataita watu lini, mfano mwaka jana wameita mwez wa ngap na majina yametoka lini? Karibia miezi sita ilipitaNi muhimu kujiandaa mapema ku cover vitu vya muhimu ili wakisha shortlist huwa pana week tuu unakuwa haupati tabu sana.
Yaan mapambano yaane ukishaliona jina, Hapo ndo unaanza kucheza kama pele, wanatoaga majina wiki mbili kablaNdio kilichonitokea walai nilisoma na kuinywa custom yote sas aajbu nikakatwa jina kuwa sijakizi vigezo
Kwa uzoefu wangu mishahara ya maafisa waandamizi walioajiriwa ktk mashirika haya ukimuondoa country director peke yake (Tshs. 30M ~ 40M - kulingana na seniority yake) wanaofutia wote mishahara hucheza kuanzia Tshs. 10M ~ 25M hakuna anayevuka hapo.Basi labda alinipanga maana hakuwa mmoja yanj walikuwa kakikundi ka watu tunapiga story. Huenda na chumvi zilihusika humo
Asilimia kubwa watu wa chini kabisa haya mashirika watu hulipwa kuanzia Tshs. 2.3M ~ Tshs. 3.5M kulingana sifa walizoanisha.Mkuu hawa jamaa madereva wao wanawalipaje kiongozi...?
Msaada tafadhali. Thanks.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Sio mbaya kujipanga japo ni mbali sana, si ajabu wakaitwa Interview mwezi June huko.Unatafuta material kabla haujawa shortlisted, Mara paaap mkeka unakuja kutoka mwezi wa 8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyinyi shuleni ndo mlikuwa mnakazana kusoma topic za mbeleniSio mbaya kujipanga japo ni mbali sana, si ajabu wakaitwa Interview mwezi June huko.
Mwenyewe yashawahi kunikuta haya niliomba then nikaanza kupiga msuli Hadi nikachoka,, yametoka majina simo[emoji16][emoji16][emoji16]
Watu hupenda ku-exaggerate mambo.Basi labda alinipanga maana hakuwa mmoja yanj walikuwa kakikundi ka watu tunapiga story. Huenda na chumvi zilihusika humo
Ila hizi NGOS nyingi zinakuwa permanent auKwa uzoefu wangu mishahara ya maafisa waandamizi walioajiriwa ktk mashirika haya ukimuondoa country director peke yake (Tshs. 30M ~ 40M - kulingana na seniority yake) wanaofutia wote mishahara hucheza kuanzia Tshs. 10M ~ 25M hakuna anayevuka hapo.
Asilimia kubwa ni mikataba based on assignments/projects.Ila hizi NGOS nyingi zinakuwa permanent au
Bandarini ni ngapi kwa officerOfisa, tcra Ni 4.5 M
Vipi huko oral waliuliza nini dadaAsante Mungu nimebahatika,, nilikua sina imani na utumishi,, sasa nimeamini kweli inawezekana
Kijiba cha roho na wivu huuWezi wa kodi wanafurahia hapa nendeni mkaibe vizuri kodi zetu halafu mje mtutukane hapa.
Kijiba cha roho cha nn sasa wakati mi niko utumwani mda sana watu wanapanga njama za kuiba tukae kimya.Vipi huko oral waliuliza nini dada
Samahani mkuu TRAS 1 ni shilingi ngapi naona ndio hela ya dereva TRANarudia kusema tena na tena na tena ya kuwa, hiyo hela ni ndogo sana kwa ofisi nyingine my lovely. Lol.
[emoji7]
Samahani mkuu TRAS 1 ni shilingi ngapi naona ndio hela ya dereva TRA
Ngoja wajeNgoja tumuulize The Sunk Cost Fallacy au BALENSIAGA watusaidie mkuu...!