Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Nipo hapa namanga upande wa Kenya ndio nikapa access ya kuingia humu. Nimeinstall na vpn kabisa sasa naenda zangu mjini kutafuta usafiri wa kugeuza dar niwai kesho ibadan.
 
Wamewaangushia tu, zile si picha zakupiga ndani ya ofisi za umma 🚮
 
Uzi umetembea speed ya 5G.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…