Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Tuambizabe uelekeo ni wapi wakati tunasubiri suluhu la hili, si tutawehuka tukikosa pa kusema jamani 😭😭😭
 
Umesahau tulihamia JamiiTalk kwa muda mfupi?
Ila haikuwahi kufungiwa rasmi tena kwa muda mrefu wa miezi mitatu.
Ilisumbua tu kwa siku chache Sana.
Nilimaanisha hatua ya kufungiwa kama ilivyotokea sasa

Huu utawala hautaki kusikia maoni mbadala kabisa
 
mbona wana hofu sana ni huu uchaguzi tu ambao wapo wenyewe kwa wenyewe bila upinzani au kuna lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…