DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.

Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu wanaosadikika Kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuna videos nyingi zinawaonesha watu hawa haswa kwenye shoo zao mbaya zaidi wamejificha kwenye kivuli cha "udizaina".

Wahusika na hili fanyeni uchunguzi HARAKA iwezekanavyo siyo kutaka kuifungia Twitter ''X'' na madanguro wakati kuna mambo ya ajabu yanafanyika wazi wazi hii nayo ni HATARI katika jamii yetu na WATOTO wetu.

Hii video Haina mahusiano yoyote na HABARI hii.

Kama yule pale ni mwanaume,basi zile nyakati zilizotabiriwa ndiyo hizi
Kuna ule uzi wa warumi nimesahau jina lake ukiupitia utaona vijana walivyokubuhu kwenye huu mchezo. Nadhani mpaka waziri fulani aliongelewa.

My take: Tupinge ushoga kwa ustawi wa vizazi vya kesho
tupinge ushonga kwa hali na mali
 
Au kuna namna wanafaidika nao?

Mwanaume kuingiliwa kinyume cha maumbile wanaume wote tunajua ni kitu hakitakiwi abadan sasa hao wanaokuwa nao karibu wanatoa wapi guts za kuwatetea?au nao lao moja may be nao ni mashoga?
 
Hili swali mie pia huwa najiuliza, marafiki wakubwa wa mashoga ni wanawake. Hivi huyu huyu mwanamke mtoto ake akiwa shoga atamuentertain hivyo kwenda nae shughulini?? Akiwa kaka ake atafanya hayo??
 
Kila mtu atumie mwili wake vile anataka. Asiwepo mtu wa kupangia mwingine.

Hairuhusiwi kupangia mwingine matumizi.

Noeli anaingiza pesa na anaishi vizuri hata kama ana haiba ya kike. Muhimu ni maokoto yasome kwenye bank account.

Kuna faida gani unajifanya kidume huku unashindia mihogo na chachandu!!?? 😁

Wacha Noeli achape kazi. Hajaomba ugali wa mtu.

Cc: Lamomy Poor Brain Yohimbe bark cocastic
 
Kila mtu atumie mwili wake vile anataka. Asiwepo mtu wa kupangia mwingine.

Hairuhusiwi kupangia mwingine matumizi.

Noeli anaingiza pesa na anaishi vizuri hata kama ana haiba ya kike. Muhimu ni maokoto yasome kwenye bank account.

Kuna faida gani unajifanya kidume huku unashindia mihogo na chachandu!!?? 😁

Wacha Noeli achape kazi. Hajaomba ugali wa mtu.

Cc: Lamomy Poor Brain Yohimbe bark
mtoto wa kiume kutetea ushoga lazima tukuangalie mara mbili mbili
 
Hili swali mie pia huwa najiuliza, marafiki wakubwa wa mashoga ni wanawake. Hivi huyu huyu nwanamke mtoto ake akiwa shoga atamuintertain hivyo kwenda nae shughulini?? Akiwa kaka ake atafanya hayo??
Lisilomfika mtu hana taarifa nalo,ni sawa na ile msiba usikie kwa jirani au chizi anachekesha akiwa hatoki kwenye familia yako.
 
Back
Top Bottom