Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hizo nyimbo tu za kwao hata ukiwa na Mke wako huwezi kusikiliza achilia mbali watoto na wazazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh, ya kweli haya?Nilikua na zembwela siku moja,alizungumzia hao watoto maisha yao kwa boss wao,kutwa kuongelea ngondo,na kwamba wanafumuana, zembwela akasema tunaishi nao hivyohivyo baasi tu
YeahDuuh, ya kweli haya?
Urafiki wa mashoga na wanawake sijui kuna siri gani ni swali ambalo sijapata jibu kwa muda mrefu ukipata jibu naomba unitag mkuu.Hili swali mie pia huwa najiuliza, marafiki wakubwa wa mashoga ni wanawake. Hivi huyu huyu mwanamke mtoto ake akiwa shoga atamuentertain hivyo kwenda nae shughulini?? Akiwa kaka ake atafanya hayo??
Anaitwa NOELI TZKama yule pale ni mwanaume,basi zile nyakati zilizotabiriwa ndiyo hizi
Kuna mtu anaitwa wema sepetu nilishakutana and yupo na kundi la mashogaUrafiki wa mashoga na wanawake sijui kuna siri gani ni swali ambalo sijapata jibu kwa muda mrefu ukipata jibu naomba unitag mkuu.
Huwa sipendi kabisa hiyo kitu, kama ni kizuri wakafanye kwa ndugu zaoUrafiki wa mashoga na wanawake sijui kuna siri gani ni swali ambalo sijapata jibu kwa muda mrefu ukipata jibu naomba unitag mkuu.
What sad is wanao enable hii tabia ni wamama wa shughuli. Tena unawakuta nao kwenye sherehe wanawachukulia kama wanawake wenzaoNgoja apite hapa gay activist, utamsikia inawauma nini mtu mwili wake pambe tyuuuu.
Ingekua ni ndugu zao wasingefanya hivoWhat sad is wanao enable hii tabia ni wamama wa shughuli. Tena unawakuta nao kwenye sherehe wanawachukulia kama wanawake wenzao
Wanawake wanapenda kulipa kisasi! Akiona mwanaume akigalagazwa kama yeye anafurahia ajabu. Ndiyo maana mwanamke akimuona bikra huwa anaona uchungu, atafanya chini juu wambikiri ili afanane naye ili amchekeUrafiki wa mashoga na wanawake sijui kuna siri gani ni swali ambalo sijapata jibu kwa muda mrefu ukipata jibu naomba unitag mkuu.
R.I.P warumiKuna ule uzi wa warumi nimesahau jina lake ukiupitia utaona vijana walivyokubuhu kwenye huu mchezo. Nadhani mpaka waziri fulani aliongelewa.
My take: Tupinge ushoga kwa ustawi wa vizazi vya kesho
Sasa kama hao wanawake na wao wanagawa nyuma wana tofauti gani?Urafiki wa mashoga na wanawake sijui kuna siri gani ni swali ambalo sijapata jibu kwa muda mrefu ukipata jibu naomba unitag mkuu.
Mwamba yupi?Nina siku nyingi sana sisimfagilii tena huyo mwamba baada ya kuona anawaunga sana mkono hao wadau wa upinde.
Kuna Mwamba humu huwa anasema kuna mstari mwembamba sana kati ya Chawa na gasho.Changamoto sana inakuaje dume zima linakuwa na mashauzi ivo hii ni aibu sana,