Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Watz sijui wana akili gani, kwamba kusoma hawajui hata picha hawaoni.Bwana kama huna uwezo wa kupigana kivita na marekani au mfalme charlse, wee kelele zako za ushoga ni just empty threats tuu
Hawakumbuki serikali iliyokua inajiona tukutu ya Magu ilivyomkana Makonda hadharani.