Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sasa mnaiomba serikali yenu mnadhani inawaweza??
Hapo waombeni west's wapunguze masharti na mishono kwenye misaada na mikopo yao.
Serikali yenu haiwezi kuwagusa hao, mtaishia kupiga kelele kila siku, kuwakamata wanaojiuza baada ya wiki mnawaachia. (Kiki za kisiasa)
Mwisho wa siku wanasiasa wanawaona wananchi kama mazuzu fulani hivi maana wanawachezea akili zenu watakavyo, siku mambo yakiwa magumu na wakataka kuzungumziwa basi ndo watawakata hao wa mitandaoni ili watrend baada ya wiki wataachiwa tena.
Lindeni vizazi vyenu, anza na mtaap wako, kama hupendi ushoga na usagaji anza kutoa elimu mtaani kwako kabla ya kuwasema hao kina Noeli ambao hata serikali yako uwezo wa kuwagusa haina.