DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.

Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu wanaosadikika Kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuna videos nyingi zinawaonesha watu hawa haswa kwenye shoo zao mbaya zaidi wamejificha kwenye kivuli cha "udizaina".

Wahusika na hili fanyeni uchunguzi HARAKA iwezekanavyo siyo kutaka kuifungia Twitter ''X'' na madanguro wakati kuna mambo ya ajabu yanafanyika wazi wazi hii nayo ni HATARI katika jamii yetu na WATOTO wetu.

Hii video Haina mahusiano yoyote na HABARI hii.

View attachment 3019596
Uchunguzoi wa nini na ushoga unajulikana upo na unapogtokea.

Mwakyembe kishafanya uchunguzi wa kutosha, sasa hivi inayotakiwa ni "action" ni tu ya kuuzima.
 
Huu uchonganishi Sasa , siku nyingine usimtaje mtu kwenye mazingira aina hii hata kama ni kweli amekuambia.
Kwani huyo zembwela si atoke hapo, shida nn km hataki watu aina ya Noel kuwa nao karibu? Njaa zinamtesa sanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh naomba hiyo interview ya Gabo, natamani kuitazama.
Ni moja kati ya interview zenye mafunzo sana kaka ake gabo ni kichaa baada ya kumuibia mama yake mzazi na wakaitwa mashekh wakasoma albadir ipo YouTube mkuu kwenye account ya Salama na ipo kwenye laptop mkuu ningeweka hapa ila ni moja kati ya mahojiano mazuri sana.
 
Kuna kitu naona kinachanganya watu wengi kuna wanaume wamezaliwa na genre za kike but sio mashoga shoga ni mwanaume yule ambaye anaingiliwa kinyume na maumbile sass kwanini tunawatuhumu kila mwanaume ambaye anahaiba ya kike ni shoga? na
Wakati unakuta ndio namna alivyozaliwa yuko hivyo
Wabongo hawa ni wa kuwapuuza tyuu, hawana hata akili wala ufahamu wa mambo,
 
Ni moja kati ya interview zenye mafunzo sana kaka ake gabo ni kichaa baada ya kumuibia mama yake mzazi na wakaitwa mashekh wakasoma albadir ipo YouTube mkuu kwenye account ya Salama na ipo kwenye laptop mkuu ningeweka hapa ila ni moja kati ya mahojiano mazuri sana.
Naitaka hiyo interview nijionee akisema kuhusu yeye ku act as gay kwenye movie huko majuu. Lol
 
Ushoga ni janga ngumu sana kulidhibiti, Ni Sawa tu na biashara ya ngono Hao madada poa
 
Jamani Noel yupo hapo kikazi anawadizain Diamond na watu wake.Hata kama ana hizo tabia lakini wcp hapo ndipo anapata rizki zake!Acheni kuhukumu hawa watu hata kwenye shughuli za kawaida maana mwisho wa siku nao ni watu.Nyie mbona ni malaya,wafiraji,wachawi,wala rushwa hamjihukumu muda mwingine acheni watu waishi eeeh
Aisee, kazi ipo
 
Kila mtu atumie mwili wake vile anataka. Asiwepo mtu wa kupangia mwingine.

Hairuhusiwi kupangia mwingine matumizi.

Noeli anaingiza pesa na anaishi vizuri hata kama ana haiba ya kike. Muhimu ni maokoto yasome kwenye bank account.

Kuna faida gani unajifanya kidume huku unashindia mihogo na chachandu!!?? 😁

Wacha Noeli achape kazi. Hajaomba ugali wa mtu.


Cc: Lamomy Poor Brain Yohimbe bark cocastic
Kweli wewe bichwa komwe
 
Back
Top Bottom