DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe ndio umetoa shutuma kwake sio mimi hakukuwa na haja ya kumwambia hayo maneno
Kijana hebu punguza kukurupuka,

Angalia comment yangu #74 kuna shutuma hapo? Halafu angalia comment #118 ya huyo unayemtetea alinijibu nini? Hebu jaribu basi kua na akili timamu japo hata kidogo tu.
 
Kama yule pale ni mwanaume,basi zile nyakati zilizotabiriwa ndiyo hizi
hii comment imenirudisha kuiangalia video mara ya pili nikakiona ulichokikusudia ambacho mwanzo sikukiona nimesikitika sana........hapa namuwaza mwanangu tuuuu daaah
 
Hampigii kelele rushwa, ubadhirifu, huduma mbovu ila mnapambana na trivial matters. Hii nchi wanachi ni empty set kama viongozi wao tu.
siku ukija kuona mwanao anapumuliwa ndiyo utakuja kuona kumbe hili suala ni hatari katika jamii
 
hii comment imenirudisha kuiangalia video mara ya pili nikakiona ulichokikusudia ambacho mwanzo sikukiona nimesikitika sana........hapa namuwaza mwanangu tuuuu daaah
hatari kabisa mkuuu tunapaswa kuwaombea vijana wetu wasikumbwe na hili pepooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
siku ukija kuona mwanao anapumuliwa ndiyo utakuja kuona kumbe hili suala ni hatari katika jamii

Huoni hatari kukosa maji, umeme, huduma bora ila unakaa kuwaza mambo ya faragha ya mtu mwingine. Bado wajinga wengi sana hii nchi.
 
Hili swali mie pia huwa najiuliza, marafiki wakubwa wa mashoga ni wanawake. Hivi huyu huyu mwanamke mtoto ake akiwa shoga atamuentertain hivyo kwenda nae shughulini?? Akiwa kaka ake atafanya hayo??
Utafiti binafsi nimebaini, saluni za kike zenye wasusi mashoga ndio zinaongoza kuwa na wateja wengi. Tusitegemee mabadiliko yoyoteya maana juu ya hili swala.

Na bado naamini hata wakina Mwakyembe nao wana ajenda ya siri tofauti na wanayozunguka nayo kimtandao.

Angali mtu kama Pastor Kanyari pale Kenya hana anachokifanya TikTok ni sawa na akina Dokta tu, tofauti ni shuhuda.

Muda utasema yote.
 
KABISA MKUU
 
Back
Top Bottom