DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wenzenu hapo Kenya waandamana juu ya serikali yao ya kidhalimu, nyie mnaongelea makalio ya watu, umeme unakatwa katwa hovyo, hapa ninavyoandika wamekata tangu saa mbili usiku, ishu za msingi za kuishinikiza serikali tunakua kimya ila likija suala la kunusa makalio ya watu mnatanua pua kama nguruwe pori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ajabu iliyojeee
 
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.

Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu wanaosadikika Kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuna videos nyingi zinawaonesha watu hawa haswa kwenye shoo zao mbaya zaidi wamejificha kwenye kivuli cha "udizaina".

Wahusika na hili fanyeni uchunguzi HARAKA iwezekanavyo siyo kutaka kuifungia Twitter ''X'' na madanguro wakati kuna mambo ya ajabu yanafanyika wazi wazi hii nayo ni HATARI katika jamii yetu na WATOTO wetu.

Hii video Haina mahusiano yoyote na HABARI hii.

View attachment 3019596
Inasikitisha sana kwa wazazi wa NOEL.
 
Wenzenu hapo Kenya waandamana juu ya serikali yao ya kidhalimu, nyie mnaongelea makalio ya watu, umeme unakatwa katwa hovyo, hapa ninavyoandika wamekata tangu saa mbili usiku, ishu za msingi za kuishinikiza serikali tunakua kimya ila likija suala la kunusa makalio ya watu mnatanua pua kama nguruwe pori
Mkuu wewe pigania hayo wacha watu waipiganie jamii.

Kuna umuhimu gani wa kuwa na jamii iliyo na maisha bora halafu micundu inatembezwa hadharani kama dawa za kunguni??

Isijekuwa hauonekani barabarani uko zako chimbo unakula raha za mihogo.
 
bora umemjibu mkuu
 
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.

Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu wanaosadikika Kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuna videos nyingi zinawaonesha watu hawa haswa kwenye shoo zao mbaya zaidi wamejificha kwenye kivuli cha "udizaina".

Wahusika na hili fanyeni uchunguzi HARAKA iwezekanavyo siyo kutaka kuifungia Twitter ''X'' na madanguro wakati kuna mambo ya ajabu yanafanyika wazi wazi hii nayo ni HATARI katika jamii yetu na WATOTO wetu.

Hii video Haina mahusiano yoyote na HABARI hii.

View attachment 3019596
ni janga kubwa sana hili
 
Sio wema Tu hata mama zuchu kharija kopa Huwa akitembea anakuwaga na anazungukwa na machoko kibao nimewahi kumuona zaidi ya mara Moja akiwa na machoko mitaa ya kinondoni tena Hiyo ilikuwa miaka ya 2010
Kuna mtu anaitwa wema sepetu nilishakutana and yupo na kundi la mashoga
 
Sio rahisi kuwapinga hawa, hata serikali inajua.
Ni kuanzisha mapambano na Freemasons
 
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.

Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu wanaosadikika Kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuna videos nyingi zinawaonesha watu hawa haswa kwenye shoo zao mbaya zaidi wamejificha kwenye kivuli cha "udizaina".

Wahusika na hili fanyeni uchunguzi HARAKA iwezekanavyo siyo kutaka kuifungia Twitter ''X'' na madanguro wakati kuna mambo ya ajabu yanafanyika wazi wazi hii nayo ni HATARI katika jamii yetu na WATOTO wetu.

Hii video Haina mahusiano yoyote na HABARI hii.

View attachment 3019596
Utashangaa hao wahusika unataka wafanye uchunguzi nao ni wadau wakubwa
Sijui Kuna Siri gani kati ya kua na nguvu kisiasa au kisanii na ushoga !
 
Hata nyinyi mnaopiga kelele humu siri zenu tumewaachia wenyewe, hayatuhusu sisi. Mnajifanya mapanga zuna kumbe hamna marinda, hatuna la kusema bwashee, tupo quiet tu.
 
UGASHO MTUPU
 
Attachments

  • AQMr1bWzSYj5VHaLKrIP8unYzz5hIDk0ml2cE0-mErR2gReE45kzIn6_PMqk-9dC4XAPT5_q-KczuSW9SzUBynG7.mp4
    4.5 MB
Hata nyinyi mnaopiga kelele humu siri zenu tumewaachia wenyewe, hayatuhusu sisi. Mnajifanya mapanga zuna kumbe hamna marinda, hatuna la kusema bwashee, tupo quiet tu.
HONGERA SANA KWA KUKOSA MARINDA KIJANA
 
Back
Top Bottom