Huwa najiuliza sana, hii kitu inamaana hawaioni au hawafikirii kabisa??
Ila wanasiasa ni waongo waongo tu.
Huwa anakumbatiwa sana.Wanaona lakini nani wa kumpinga mfalme mbowe!?
Asante mkuu. Lakini ukilinganisha uimara wa chadema before 2015 enzi za hao uliowataja na kwa sasa ni tofauti kidogo maana hata nafasi ya uwakilishi imepungua sana.Chadema iko mioyoni mwa watu.
Kama Chadema ipo with or without mbowe, with or without Lissu nk. Wameondoka kina Kaburu, Slaa chadema iko imara.
Aje kuwa nani? Muda gani usubiriwe kuthibitisha hilo?
Chama mioyoni mwa watu ni shubiri mwitu kwa madikteta uchwara.
Baada ya kuwa katibu mkuu akahama CCM?Mbona Bashiru alitoka CUF mpaka Katibu mkuu CCM?
Ana issue gani hapo alipo?Baada ya kuwa katibu mkuu akahama CCM?
Pamoja na kuwaita Mamluki ila CDM waliwapa nafasi kubwa chamani, mpaka Lazaro alihitaji urais via CDM......nadhani ni funzo kwa opozisheni pati za Tanzania
Kuna kila dalili ya Wana Chadema kuchanganyikiwa
Ni mjinga tu anayeweza kusema hakuna athali Kwa wanaokihama Chadema, Waulize vizuri hao viongozi watakwambia jinsi inavyowauma maana usikute wewe hapa ni mpiga propaganda tu huna hata Ile Kadi na hujawahi kihudhuria hata kikao kimoja tu cha chama na hujawahi hata kukichangia chama
Ukimaliza hapa, kanywe konyagi creti moja Kwa Hasira ili usahau kidogo Maumivu haya mkuuKuna kila dalili za wanachama mboga mboga kuchanganyikiwa. Kwamba hakuna athari kwa yeyote kuondoka Chadema be it: "Mzee Mdee, Mbowe, Lissu you name them."
Kwamba jahazi la Chadema ni imara no matter what, poleni sana.
Hiyo ndiyo Chadema inayowaacha chama mboga mboga hoi bun taabani wasijue kushoto wala kulia.
Hivi Pole pole bado ataendelea kutoa malipo ya buku 7 kuendeleza vita vya mataga mitandaoni?
Vipi mataga nao wataendelea kuwapo awamu hii ambayo kina bushiri wametambulika kuwa ni mizigo?
NDIYO MAANA HAMPIGI HATUA KWA SABABU ANY FAILURE KWENU HAMUKUBALI ON THE FACE OF IT, YOU ALWAYS DO MASSAGE ON ALL FAILURES KWA KUZIPA MAJINA MATAMU. KARAGABAO CHADEMA, NDIYO MAANA CCM ANAWAPENDA SANA KAMA WAPINZANI WAKE
Ukimaliza hapa, kanywe konyagi creti moja Kwa Hasira ili usahau kidogo Maumivu haya mkuu
Sawa mkuu!Mtakuwa mmeumia sana kuwa tuko vyema kuliko maelezo.
Tuko tayari kumzingua Lissu akizingua. Ije kuwa nani?
Kwani mheshimiwa Mungu mlikuwa mnamuweza? Si mshukuruni Iziraeli nyie?
CCM kama chama ndiyo haina uhai kwani ipo kwa mabavu ya vyombo vya dola tu.Wewe unavyoona kuna uhai tena ndani ya chadema?mdharau meiba mguu huota tende,subilini majibu yake.
Sawa mkuu, lkn Maumivu hayakosekaniMtakuwa mmeumia sana kuwa tuko vyema kuliko maelezo.
Tuko tayari kumzingua Lissu akizingua. Ije kuwa nani?
Kwani mheshimiwa Mungu mlikuwa mnamuweza? Si mshukuruni Iziraeli nyie?
Ni hakikaKama sio 'Covid' Nyalandu asingerejea CCM
Learning is an endless process for the attitude that is ready to learn from mistakes. For the dumb mind. To them its all about having a quantitative list of members and not the quality...Let me count the heads.
Shibuda, in and out
Lowassa, in and out
Sumaye, in and out
Mwiru, in and out
Nyalandu, in and out
Who else?
When will CHADEMA learn?
Rafiki yangu, nikupongeze, sikupi pole hata kidogo kwa sababu sasa ndio chama chenu kinasafishika kabisa.Tunawatakia kila la heri wote waendazao