Tusha sawazisha hukooo, [emoji23][emoji23][emoji23]Angalia post zangu za Leo, nilikuwa na imani ubingwa una anzia leo game ya city.
Manii sitii😅Wapumbavu sana city.
Kwani ulitaka tushangilie nini? Ila MM mbona kutupangia tena kulikoniiii??Sasa mnashangilia point 1.
Mme bebwa, ila still 5 points at the top is cool.Tusha sawazisha hukooo, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha inyeshe mkuu........Sio mbaya. Arsenal kupoteza sahivi ngumu.
😅😅 ohoo chizi anachekesha akiwa hatokei kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arsenal inachekesha ikiwa haitokei kwenuu,
Wee subirii, mwisho wa msimu, utakuja ushangae. LolMme bebwa, ila still 5 points at the top is cool.
Nakuambiaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] ohoo chizi anachekesha akiwa hatitokei kwenu