Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #21
Wanamvumilia tu hakuna anaependa huwezi kuwa na mdomo mchafu hivi kama gigyHeri yetu Simba tulimfukuza maana hatuwezi kukaa na watu wasio na akili kwa mujibu wake yeye mwenyewe na ndio maana yupo kwa wenzie isipokuwa Mzee Kikwete na Mzee Manara!
Duh!....wewe una chuki binafsi na HajiNao ashukuru magereleza ndio kawafanyia ivyo wamemtupia taulo ila mimi bado na mtamani
Ubembelezwe wewe nani mtoto?Tatizo askari alimwambia Kwa ukali kama anamfokea mfungwa. Yaani uambiwe wewe Toka hapo Kwa ukali utegemee unayemwambia asikasirike? Manara alikuwa sahihi
AhahahKitu alichofanikiwa Manara ni kutengeneza misukule yake.
Acha punguza makasiriko mkuu🤣🤣
View: https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c
Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria.
Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza
Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?
Kuna mda unaweka huruma pembeniWamuache tu, uliisha muona huyo manara uso kwa uso?
Uta muhurumia tu, wamuache abwabwaje atakavyo, mimi siwezi hata kumsukuma, hata anitukane vipi.
Sio ubabe unapaki vipi gari mbele ya gari af unaambiwa unasema ngoja nimalize mahojiano kweli kwahy wakae wakungojee weweManara yupo sahihi
Kwanini askari Magereza wanaleta ubabe kwenye michezo
Au waanzishe ligi zao za Magereza
Mfano Butimba icheze na Ukonga
Kwaza kwanini anamuliki pisi kali vileDuh!....wewe una chuki binafsi na Haji
Hapna uyu mnamuendekezaAcha punguza makasiriko mkuu🤣🤣
Hahaha, ukitumwa wewe ukamkamate, utarudi mikono mitupu.Kuna mda unaweka huruma pembeni
Kwahy unaona ni sawa kapaki gari mbele ya gari unaambiwa pishs unasema mpaka umalize mahojiano kweli?Manara yuko sahihi,wewe huwezi ukafoka foka tu hovyo kisa wewe askari.
Mie ningekua Manara ningemuongezea na tusi juu huyo askari magereza.
Mkuu tunabishana bure ila askari hakutumia ustaarabu.Kwahy unaona ni sawa kapaki gari mbele ya gari unaambiwa pishs unasema mpaka umalize mahojiano kweli?
Mimi Mwananchi kindakindaki lakini nilikerwa na maneno ya Manara dhidi ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Yanga wanatakiwa wamfungie kujihusisha na Timu yao kwa muda ili liwe onyo kwa wote wenye tabia hiyo!!!Kwamba Bado una jambo nae
Sasa kwanini ameomba msamaha?Manara yuko sahihi,wewe huwezi ukafoka foka tu hovyo kisa wewe askari.
Mie ningekua Manara ningemuongezea na tusi juu huyo askari magereza.
Kila anayeomba msamaha anamaanisha!?Sasa kwanini ameomba msamaha?
Ameomba msamaha kwa kosa lipi?
Nasikia ana black belt anapiga Taikwondo balaa yaan ni Master WushuMim siku aje anijibu shombo zake izo mmoja anaenda hospital mwingine kituoni