MANARA na wake zake wawili. Mbinu nzuri ya kulinda brand yake isipotee kipindi amesimamishwa kazi yanga

MANARA na wake zake wawili. Mbinu nzuri ya kulinda brand yake isipotee kipindi amesimamishwa kazi yanga

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Haji manara albinoz mjanjaz

Baada ya Manara alipewa adhabu na TFF asingekuwa mjanja tungeshamsahau.

Maana usemaji wake ndio kazi inayomfanya aonekane na kupata dili zingine.

Mbinu yake ya wake wawili inambeba asisahaulike
 
Back
Top Bottom