Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...msijali, nawaombea msifungwe leo!
Tusifungwe au tusishindwe? Kama kufungwa tulishafungwa na chenga twaliwa vilevile. Hata hivyo maombi yako yana-balance-wa na maombi kibao ya wanaoomba tushindwe.
Twende uwanjani tena.
Ningehama timu...
nisingehama kwa kichapo cha siku moja; kwangu frequency ndio ina matter kuliko quantity ya siku moja; kwa heri, mtatupiga sana liver mwaka huu lakini kombe ng'ooooooooooooooooooooooo, na bado tuna game moja, mlie tu.ACHA WEWE, UNGEHAMA ILE SIKU YA 4 KUTWA MARA MOJA.... HIVI IDACON YUKO WP NA ZILE TRAILERS zake?
Ningehama timu...
congrats Man U, it was hard fight to win kudos... poleni Liver hamwezi ninyi lazima kikombe kibaki. hureeeeee...
- Noma sasa hawa Miungu wangu kumbe nao noma sometimes, anyways respect kwa wapenzi wote wa Ma-U maana leo kweli ilikuwa tafrani.
Respect.
FMES
Hiyo ni kuonyesha msisitizo tu mkuu, kuwa ni 1) kitu kisichowezekana Man utd Kupigwa game 3 mfululizo na 2) mimi kuhama timu ya Man Utd....aaaaaaaaaaaarrrrgghhh, mambo gani hayo tena Saikosisi? unakuwa kama wale wapenzi wa Man U ambao walikuwa wanatoka uwanjani huku nyuma Ronaldo anasawazisha... mpira dkk 95 siku hizi, hata Liverpool jana mpaka dkk ya 92 ndio wameona nyavu!
To Liverpool, Arsenal and Chelsea Fans,Special
Hiyo ni kuonyesha msisitizo tu mkuu, kuwa ni 1) kitu kisichowezekana Man utd Kupigwa game 3 mfululizo na 2) mimi kuhama timu ya Man Utd.
To Liverpool, Arsenal and Chelsea Fans,
From Man Utd Fan,
U CAN BEAT THE HELL OUT OF US AS MUCH AS U CAN, AND AS MUCH AS U LIKE, BUT IN THE END IT IS US WHO WILL BE LAUGHING.
VIVA MAN UTD
Senator...abadilisha avatar yangu in a few minutes
hahaha! i have put a coloured one man worry not!!! hureeeeee manUtd