Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Dakika ya 92 MANU wanapata goli la 3, WHAT A GAME!!!!
 
Mpira umekwisha, ilikuwa ni mechi moja yenye ushindani wa hali ya juu. Congrats MANU!
 
congrats Man U, it was hard fight to win kudos... poleni Liver hamwezi ninyi lazima kikombe kibaki. hureeeeee...
 
ACHA WEWE, UNGEHAMA ILE SIKU YA 4 KUTWA MARA MOJA.... HIVI IDACON YUKO WP NA ZILE TRAILERS zake?
nisingehama kwa kichapo cha siku moja; kwangu frequency ndio ina matter kuliko quantity ya siku moja; kwa heri, mtatupiga sana liver mwaka huu lakini kombe ng'ooooooooooooooooooooooo, na bado tuna game moja, mlie tu.
 
- Noma sasa hawa Miungu wangu kumbe nao noma sometimes, anyways respect kwa wapenzi wote wa Ma-U maana leo kweli ilikuwa tafrani.

Respect.

FMES
 
Ningehama timu...

...aaaaaaaaaaaarrrrgghhh, mambo gani hayo tena Saikosisi? unakuwa kama wale wapenzi wa Man U ambao walikuwa wanatoka uwanjani huku nyuma Ronaldo anasawazisha... mpira dkk 95 siku hizi, hata Liverpool jana mpaka dkk ya 92 ndio wameona nyavu!

congrats Man U, it was hard fight to win kudos... poleni Liver hamwezi ninyi lazima kikombe kibaki. hureeeeee...

...Mkuu hongera sana! hapa nilikuwa nafikiria, Nziku huko aliko saa hii kiroho paa-paa-paa!... ushindi mtamu huo!

Belo inawezekana alishazima Tv na redio saa nyiiiingi, wala hajui matokeo yamebadilika, yeye anajua Man U wamelala kamoja tu!!!
 
- Noma sasa hawa Miungu wangu kumbe nao noma sometimes, anyways respect kwa wapenzi wote wa Ma-U maana leo kweli ilikuwa tafrani.

Respect.

FMES

Mkuu kumbe upo anga hizi........aisee kichapo cha leo kingekuwa balaa kwa SAF......na akina Icadon, Manda et al.......hongereni ManU
 
...aaaaaaaaaaaarrrrgghhh, mambo gani hayo tena Saikosisi? unakuwa kama wale wapenzi wa Man U ambao walikuwa wanatoka uwanjani huku nyuma Ronaldo anasawazisha... mpira dkk 95 siku hizi, hata Liverpool jana mpaka dkk ya 92 ndio wameona nyavu!
Hiyo ni kuonyesha msisitizo tu mkuu, kuwa ni 1) kitu kisichowezekana Man utd Kupigwa game 3 mfululizo na 2) mimi kuhama timu ya Man Utd.

To Liverpool, Arsenal and Chelsea Fans,
From Man Utd Fan,

U CAN BEAT THE HELL OUT OF US AS MUCH AS U CAN, AND AS MUCH AS U LIKE, BUT IN THE END IT IS US WHO WILL BE LAUGHING.

VIVA MAN UTD
 
thanks mkuu... nakumbuka nikiwa primary nilikuwa nikidundwa na watemi, naenda home kutandika madogo... and then i had the last laugh [at least at home]

CONGRATULATION GUYS AND IT SEEMS DESTINED THAT THE TITLE IS YOURS
 
Man fan hongereni sana! Yaani angalau ushindi wa leo ulitakiwa na wamejitahidi sana!...
 
hahaha! i have put a coloured one man worry not!!! hureeeeee manUtd

YAh, i had similar one i took while crossing the lake to Sengerema so i had to change and i have the one i took niliwa kileleni capri point

ukiweka na hiyo basi ntaanza kuweka za chumbani

HONGERENI MANURE... SASA TUNAWASUBIRI TUWAKONG'OLI UBINGWA WA ULAYA.... TUMECHOKA KUONA MNANYANYASA VICHILDREN TEAMS
 
Macheda mwenye miaka 17 atukomboa

Lakini leo sijafurahishwa na Nevile Tevez and Nani
waliku out of game kama Tevez mhh... pia Nevile katusababishia goli zote

lakini tunafuraha kwa ushindi wetu MAN UTD mwaka Wetu
 
Back
Top Bottom